Makonda anaweza kuishitaki I.T.V kwa kurusha tuhuma dhidi yake?

Makonda anaweza kuishitaki I.T.V kwa kurusha tuhuma dhidi yake?

Wanasheria nguli mliomo humu tusaidieni ufafanuzi kwenye hili.
Iwapo chombo cha habari kimeruhusu Mtu mmoja amdhalilishe mwingine bila uthibitisho na bila kupata ufafanuzi wa aliyetajwa.

Namtia moyo sana Makonda afanye hivyo asubuhi hii ili inyeshe tuone panapovuja.
[emoji3][emoji3][emoji3] bahati mbaya sana anajua nafsi yake inamshuhudia nini. Nakutakia siku njema kabisa
 
Back
Top Bottom