Makonda anaweza kuishitaki I.T.V kwa kurusha tuhuma dhidi yake?

Makonda anaweza kuishitaki I.T.V kwa kurusha tuhuma dhidi yake?

Muite Simba please, mama yako kasema! we ni nani usitaje jina kamili. Kwa simba kila chawa atapiga goti
 
Makonda anaweza kuishitaki I.T.V kwa kurusha tuhuma dhidi yake?
Unamaanisha Makonda huyo huyo aliyemdhalilisha waziri mkuu na makamo wa rais mstaafu kwa kumpiga makofi hadharani, au kuna mwingine?!!!

Kama unaongelea Paul Makonda a.k.a Bashite, ni mchafu tangu kitambo
 
Wanasheria nguli mliomo humu tusaidieni ufafanuzi kwenye hili.
Iwapo chombo cha habari kimeruhusu Mtu mmoja amdhalilishe mwingine bila uthibitisho na bila kupata ufafanuzi wa aliyetajwa.
Basi akashtaki magazeti yote yaliyoreport/you tube etc
 
Atashitaki wangapi.. siku lissu anashusha nondo 'live' microphones kama 200.. baadaye social media nyingi zikacheza kwa vipande,wengine yote. Nimemkumbuka Kaini alivyomwaga damu ya nduguye Abeli.. alihangaika sana maisha yake yote
 
Back
Top Bottom