Wanasheria nguli mliomo humu tusaidieni ufafanuzi kwenye hili.
Iwapo chombo cha habari kimeruhusu Mtu mmoja amdhalilishe mwingine bila uthibitisho na bila kupata ufafanuzi wa aliyetajwa.
Atashitaki wangapi.. siku lissu anashusha nondo 'live' microphones kama 200.. baadaye social media nyingi zikacheza kwa vipande,wengine yote. Nimemkumbuka Kaini alivyomwaga damu ya nduguye Abeli.. alihangaika sana maisha yake yote