mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,155
- 2,704
Paul Makonda anaitumia Michezo sasa kuwin his trust kwa jamii aliyoiumiza sana kipindi cha Uongozi wa Magufuli kiasi cha kupigwa ban kuingia Marekani na Serikali ya Marekani bado ana tikisa na genge lake la Mafwele kwa Utekaji nyara wa Viongozi wa vyama Pinzani ambao sasa wanawaita wana Harakati. Ambapo wiki hii walikosa kosa kumuua Msaidizi wa Tundu Lissu.
Makonda angalipo kwenye mfumo Tanzania tusahau mambo ya Utekaji kuisha
Makonda angalipo kwenye mfumo Tanzania tusahau mambo ya Utekaji kuisha