Anazidi kunenepa tu mi kama kaziba masikio kaamua ale kuku kwa mrija hahaha..hii nchi tamu sana nashangaa watu wanafurahia kina makonda kuzuia kuingia USA wakati watu wananawiri hapahapa dsmNa anazidi kupaishwa, kituo kinachofuata anakuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, sijui ana siri gani na mamlaka ya uteuzi.
Na msambwanda ndiyo unazidi kutuna tu kwa raha zake.Anazidi kunenepa tu mi kama lazima masikio kaamua ale kuku kwa mrija hahaha..hii nchi tamu sana nashangaa watu wanafurahia kina makonda kuzuia kuingia USA wakati watu wananawiri haoahaoa dsm
wiki hii walikosa kosa kumuua Msaidizi wa Tundu Lissu.