Kadoda nguku
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 332
- 475
Ndio maana nimesema Dar haihitaji Akili,anahitaji ubabe kwa maana ya kutuma vyombo vyoteKadoda nguku,
..Makonda hawezi siasa anategemea POLISI.
..hivi unadhani Makonda anaweza kumkabili kijana mwenzake wa CDM Boniface Jacob?
Ndio maana nimesema Dar haihitaji Akili,anahitaji ubabe kwa maana ya kutuma vyombo vyote
Mzee wa force king..kama ni kutumia vyombo vya dola sawa.
Sasa huko si nikuhatarisha amani ndugu, hivi unazani huu utulivu na uvumilivu ni wa milele? JK mwaka 2010 alizidiwa kura na Dr Slaa kwenye vituo vyote nyeti (Makazi ya viongozi, na watu wazito) mfano Mbezi Beach, Masaki, Osterbay, Lugalo jeshini etc.Ndio maana nimesema Dar haihitaji Akili, anahitaji ubabe kwa maana ya kutuma vyombo vyote
Dar inataka ubabe na sio elimu wala ujuaji