Makonda angekuwa bado ni RC wa Dar basi CCM ingebeba Majimbo yote jijini

Makonda angekuwa bado ni RC wa Dar basi CCM ingebeba Majimbo yote jijini

Wamrudishe waone atakavyo wasogeza dakika 15 ndani ya kitanzi cha mabeberu!
 
Sasa huko si nikuhatarisha amani ndugu,hivi unazani huu utulivu na uvumilivu ni wa milele? Jk mwaka 2010 alizidiwa kura na Dr Slaa kwenye vituo vyote nyeti( Makazi ya viongozi,na watu wazito) mfano Mbezi beach,Masaki,Osterbay,Lugalo jeshini etc. Kuna jamaa yangu nilisoma nae Ikizu High school ( Mara) R.I.P alikuwa tiss alinitonya jinsi hiyo hali ilivyompa simanzi Jk. Kwamba familia za viongozi kule Masaki na Osterbay zimeenda kumkataa kwenye sanduku la kura,hadi familia za manajeshi.
Maelezo haya ni mazuri sana na yanafikirisha hasa.
Jee hali ya sasa kwenye uchaguzi masanduku ya kura kwenye kambi za jeshi na za polisi unadhani itakuwaje?
Nadhani magu hawezi ambulia hata 10% ya kura hasa baada ya kuwaondolea duty free shops na posho aliyo ahidi atawapa kaiondoa tena.
Hilo jambo nihatari sana kama mtu mmoja tuu anaweza akachokonoa na kikawaka
 
After video clips za kuzuga umekuwa, mkulima, sasa ni hili la kujipaisha online!
 
Kama angekuwa na uwezo wa kampeni angefanya akiwa Kinondoni na asingepoteza majimbo yote. Pili kampeni si mpaka akaribishwe? Maana kwenye chama hana cheo chochote na hana kikundi chake cha sanaa.
Ila akijichanganya kwa hiali kwenye kampeni, nashauli atengeneze kanzu zenye rangi za ccm zinaweza kumsitili vzr muonekano wake. Tofauti na hapo watu hawatavutiwa na sera zinazonadiwa jukwaani watavutiwa na shape yake.
 
Upo kwenye payroy yake? Fedha za kuwalipa anapata wapi? Kuleni tu fedha haramu shauri yenu!
 
Sasa huko si nikuhatarisha amani ndugu,hivi unazani huu utulivu na uvumilivu ni wa milele? Jk mwaka 2010 alizidiwa kura na Dr Slaa kwenye vituo vyote nyeti( Makazi ya viongozi,na watu wazito) mfano Mbezi beach,Masaki,Osterbay,Lugalo jeshini etc. Kuna jamaa yangu nilisoma nae Ikizu High school ( Mara) R.I.P alikuwa tiss alinitonya jinsi hiyo hali ilivyompa simanzi Jk. Kwamba familia za viongozi kule Masaki na Osterbay zimeenda kumkataa kwenye sanduku la kura,hadi familia za manajeshi.
Kumbe wajumbe wapo toka kitambo
 
Ubungo, Kawe, Segerea, Ukonga, Kibamba saa nne asubuhi tu chadema wanachukua Temeke, Kigamboni, Mbagala, Kinondoni, Ilala inategemea nani atasimama maana hayo majimbo wapiga kura hawana uelewa zaidi ya ushabiki.
 
Maelezo haya ni mazuri sana na yanafikirisha hasa.

Jee hali ya sasa kwenye uchaguzi masanduku ya kura kwenye kambi za jeshi na za polisi unadhani itakuwaje?

Nadhani magu hawezi ambulia hata 10% ya kura hasa baada ya kuwaondolea duty free shops na posho aliyo ahidi atawapa kaiondoa tena.
Hilo jambo nihatari sana kama mtu mmoja tuu anaweza akachokonoa na kikawaka.
Binadamu mda mwingine tunakosea sana kuona wenzetu wajinga wajinga kuna watu wanachukulia Tanzania ni wajinga wajinga kamwe usimzoee mtu sana kuna muda anaweza kukutenda kitu usichokitegemea.
 
Kashaomba kazi kwa Mambosasa hata kama saa 9 usiku yupo tayari.
 
Kitendo cha kumuondoa Paul Makonda Dar es Salaam imekuwa kama afueni kwa wapinzani Jijini Dar es Salaam.

Hakika kama Makonda angebakia, wapinzani wasingepata Jimbo hata moja ila kwa sasa naona majimbo yote ya Dar yanaenda tena upinzani

Sijui CCM hawakulifikiria hilo?

Makonda siasa za Jiji la Dar es Salaam anaziweza sana.
Mungu ni wa ajabu sana. Na huwezi mfananisha na kitu chochote.
Hebu fikiria Makonda alivyo kuwa amempania Mdee kwenye huu uchaguzi. Bila kujua kwamba hatakuwepo kama mkuu wa Mkoa.
Mungu kampiga upofu na sasa ni raia wa kawaida.
Na Ccm wakitaka wasipate jimbo hata moja Dar, wamsimamishe Makonda majukwaani ndipo watajua hasira za Watanzania.
 
Kitendo cha kumuondoa Paul Makonda Dar es Salaam imekuwa kama afueni kwa wapinzani Jijini Dar es Salaam.

Hakika kama Makonda angebakia, wapinzani wasingepata Jimbo hata moja ila kwa sasa naona majimbo yote ya Dar yanaenda tena upinzani

Sijui CCM hawakulifikiria hilo?

Makonda siasa za Jiji la Dar es Salaam anaziweza sana.
Kama anaziweza siasa za Dar ni nini kimempata huko Kigamboni?
 
Ingekuwa anaziweza siasa za Dar angelishinda kura za maoni Kigamboni. Yaani anaweza kukitetea chama lakini anashindwa kujitetea mwenyewe!?
 
Back
Top Bottom