Wauzaji wa Container Tz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 2,224
- 4,092
Yeye mwenyewe kachezea kichapo kikali , duu story zingine bwana.
Duh, hiyo nayo kaliIla akijichanganya kwa hiali kwenye kampeni, nashauli atengeneze kanzu zenye rangi za ccm zinaweza kumsitili vzr muonekano wake. Tofauti na hapo watu hawatavutiwa na sera zinazonadiwa jukwaani watavutiwa na shape yake.