Mkuu mbona unalinganisha ubora wa mashine ya bajaj na baiskeli ya swala?Kadoda nguku,
Makonda hawezi siasa anategemea POLISI.
Hivi unadhani Makonda anaweza kumkabili kijana mwenzake wa CDM Boniface Jacob?
Maelezo haya ni mazuri sana na yanafikirisha hasa.Sasa huko si nikuhatarisha amani ndugu,hivi unazani huu utulivu na uvumilivu ni wa milele? Jk mwaka 2010 alizidiwa kura na Dr Slaa kwenye vituo vyote nyeti( Makazi ya viongozi,na watu wazito) mfano Mbezi beach,Masaki,Osterbay,Lugalo jeshini etc. Kuna jamaa yangu nilisoma nae Ikizu High school ( Mara) R.I.P alikuwa tiss alinitonya jinsi hiyo hali ilivyompa simanzi Jk. Kwamba familia za viongozi kule Masaki na Osterbay zimeenda kumkataa kwenye sanduku la kura,hadi familia za manajeshi.
Kama angekuwa na uwezo wa kampeni angefanya akiwa Kinondoni na asingepoteza majimbo yote. Pili kampeni si mpaka akaribishwe? Maana kwenye chama hana cheo chochote na hana kikundi chake cha sanaa.Kwani awezi fanya kampeni?
Ila akijichanganya kwa hiali kwenye kampeni, nashauli atengeneze kanzu zenye rangi za ccm zinaweza kumsitili vzr muonekano wake. Tofauti na hapo watu hawatavutiwa na sera zinazonadiwa jukwaani watavutiwa na shape yake.Kama angekuwa na uwezo wa kampeni angefanya akiwa Kinondoni na asingepoteza majimbo yote. Pili kampeni si mpaka akaribishwe? Maana kwenye chama hana cheo chochote na hana kikundi chake cha sanaa.
Kwani kafa?Kadoda nguku,
Hata Simba tumepoteza mshauri wa timu
Kumbe wajumbe wapo toka kitamboSasa huko si nikuhatarisha amani ndugu,hivi unazani huu utulivu na uvumilivu ni wa milele? Jk mwaka 2010 alizidiwa kura na Dr Slaa kwenye vituo vyote nyeti( Makazi ya viongozi,na watu wazito) mfano Mbezi beach,Masaki,Osterbay,Lugalo jeshini etc. Kuna jamaa yangu nilisoma nae Ikizu High school ( Mara) R.I.P alikuwa tiss alinitonya jinsi hiyo hali ilivyompa simanzi Jk. Kwamba familia za viongozi kule Masaki na Osterbay zimeenda kumkataa kwenye sanduku la kura,hadi familia za manajeshi.
Binadamu mda mwingine tunakosea sana kuona wenzetu wajinga wajinga kuna watu wanachukulia Tanzania ni wajinga wajinga kamwe usimzoee mtu sana kuna muda anaweza kukutenda kitu usichokitegemea.Maelezo haya ni mazuri sana na yanafikirisha hasa.
Jee hali ya sasa kwenye uchaguzi masanduku ya kura kwenye kambi za jeshi na za polisi unadhani itakuwaje?
Nadhani magu hawezi ambulia hata 10% ya kura hasa baada ya kuwaondolea duty free shops na posho aliyo ahidi atawapa kaiondoa tena.
Hilo jambo nihatari sana kama mtu mmoja tuu anaweza akachokonoa na kikawaka.
Mungu ni wa ajabu sana. Na huwezi mfananisha na kitu chochote.Kitendo cha kumuondoa Paul Makonda Dar es Salaam imekuwa kama afueni kwa wapinzani Jijini Dar es Salaam.
Hakika kama Makonda angebakia, wapinzani wasingepata Jimbo hata moja ila kwa sasa naona majimbo yote ya Dar yanaenda tena upinzani
Sijui CCM hawakulifikiria hilo?
Makonda siasa za Jiji la Dar es Salaam anaziweza sana.
Kama anaziweza siasa za Dar ni nini kimempata huko Kigamboni?Kitendo cha kumuondoa Paul Makonda Dar es Salaam imekuwa kama afueni kwa wapinzani Jijini Dar es Salaam.
Hakika kama Makonda angebakia, wapinzani wasingepata Jimbo hata moja ila kwa sasa naona majimbo yote ya Dar yanaenda tena upinzani
Sijui CCM hawakulifikiria hilo?
Makonda siasa za Jiji la Dar es Salaam anaziweza sana.
PointIngekuwa anaziweza siasa za Dar angelishinda kura za maoni Kigamboni. Yaani anaweza kukitetea chama lakini anashindwa kujitetea mwenyewe!?