Makonda aongeza saa moja katika usiku wa tigo fiesta Dar

Makonda aongeza saa moja katika usiku wa tigo fiesta Dar

Kweli huyu jamaa ana nguvu sana kiasi kwamba hata law makers wa Tanzania wanaonekana ni wapuuzi tu.
 
Huyu Bwana wamuangalie sana ila kiukweli anatumia vibaya Madaraka yake., Kama swala ni la Kisheria, hicho kibali cha kuongeza muda anatoa wapi Mamlaka yake tena!
 
Kwani lazima leaders club karibu na Makazi ya watu si wafanyie uwanja wa Uhuru/Taifa.?
 
ameongeza vipi wakati alisema ni kwa mujibu wa sheria mwisho saa sita?
ama kweli nimeamini sheria nchi hii hazifuatwi bali ni uamuzi wa mwenye mamlaka
huu uwezo alionao makonda wa kuvunja sheria ameupata wapi
 
Ngedere watashangilia tu,utasikia bashite hoyeee
 
Hii ni baada ya kutembelea kituo cha utangazaji cha clouds media na kuwapa pole kwa tukio lililowapata jana, kabla ya kuondoka akawaambia kua ameongeza saa moja zaidi hivyo badala ya saa sita mwisho itakua saa saba
Haya yote. Yatapita kama mtu mmoja anauwezo wa kuamua lipi na. Wapi na saa ngapi lifanyike basi tunatawaliwa na. Ufalme ipo siku tutaambiwa tulale saa kumi na mbili jioni..!
Haki huinua Taifa...
 
Kiukweli Mimi huko kwenye hiyo fiesta sitakwenda maana hiyo mida ndio najiandaa Nikale bata
 
Kwani hyo sheria ya saa sita katunga makonda au nan? Maana sielewi, kama katunga sawa ila kama kaikuta hana mamlaka ya kuifanya atakavyo.
 
Tutakuja kulala saa kumi mchana kwa hati ya dhalura
 
Hii nyongeza kama ile ya kipimo cha mafuta ya kula, ila sioni sehemu aliyoongezeka, bora tu wamalize saa sita, ila cloudsfm mwaka huu wameshikwa kwa pabaya, mwaka jana mpaka kunapambazuka sholo mwamba na man fongo ndio kwanza wanaanza shoo.
 
Back
Top Bottom