Pre GE2025 Makonda apandikiza waigizaji kwenye madawati yake ya msaada wa kisheria ili kumpa kiki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ndio zake huyo bwana mdogo bashite.
anapenda sana kiki kulipo uhalisia anavijamaa vyake pia anavilipa kumsujudu mitandaoni
 
Tukiachana na ushabiki wa kisiasa.naona mda mwingine saa mbovu ikiongea ukweli.

Makonda mbona anafanya kazi nzuri Kwa Arusha.
Hivi kweli maigizo kwenye matatizo ya watu.

Hapa ndugu ntapishana na wewe.

Badala apewe sapoti ndo Kwanza mnamkandia🤔.
Ilitakiwa wakuu wa mikoa yote waige utendaji wa jamaa.

Mbona anaibua madudu dhahili shahili.

Mwacheni jamaa apige kazi.
 
Rubbish
 
Anafaidika na nini kufanya haya yote?
 
Bashite ana siasa za kitapeli, na ana genge lake la mitandao kumsifia kwenye akaunti zake feki
 
Bashite ana siasa za kitapeli, na ana genge lake la mitandao kumsifia kwenye akaunti zake feki
Mhuni sana huyu mtu. Kuna wakuu wa mikoa wengi na wanafanya mengi sana nchi hii , lkn hatuwaoni wakikusanya vyombo vya habari kuonesha wanayoyafanya mikoani mwao. Why him? This imbecile, is good for nothing!
 
Hahahaha unaumia ukiwa wapi?
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…