Uchaguzi 2020 Makonda apiga kambi ubunge Kigamboni

Yani tanzania tuwe na waziri aliye foji cheti?
 
Kwani Paulo Makonda akiwa mbunge atapata nini cha zaidi ambacho kwa sasa hakipati ?
 
Wanataka wacheze mchezo Bashite apite ubunge ili afanikiwe kuingia bungeni apewe cheo kikubwa alafu jiwe liwe limeshika pande zote. Zee chizi kabisa badala ya kufikiria kuboresha nchi linafikiria litakamataje vipi watu
Fikiria bunge ambalo spika ni Paulo Makonda, humo ndani kutakuwa na comedy za ajabu.
 
Kama anautaka uwaziri mkuu lazima awe mbunge wa kuchaguliwa na wananchi
 
Huyo aende akagombee kwao ubashiteni.
 
UCHAGUZI 2025 : MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM MAJALIWA MAJALIWA

UCHAGUZI 2035 : MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM - PAUL MAKONDA


Hapo kuna kizazi mpaka kinazeeka kinapitia SHURUBA tu 😁😁😁
 
Well said
 
Hii ishu ya CCM kukataza viongozi wa mikoa vijana kugombea ubunge, ni jambo la ajabu sana. Sasa sijui demokrasia kwao ni nini?
 
MIMI NIMEJIANDIKISHA KITUO CHA OYSTERBAY PRIMARY SCHOOL nimefanya hivyo ili nishiriki kulinda kura za mdee. ole wenu mlete sarakasi kama za 2015 manati itawahusu siku hiyo
Mdee anashinda asubuhi na mapema! Anakubalika sana Kawe
 
Ndio amekutuma uje umpigie campaign sio?!

Kwa uchapakazi wake ulivyo na namna anavyokubalika kwa Mh Raisi, bila hata kutumwa au kuombwa nitampigia kampeni mtaa kwa mtaa
 
Kwanini hakwenda kugombea kwao kolomije? Au kule hawamfahamu na au amekataliwa?
Wana kigamboni msimkubali huyo jamaa kuwa mbunge wenu kwani Hana Nia njema na mashamba yenu na haji kuwasaidia Bali kuwapora ardhi yenu! Mkimbizeni akagombee kwao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…