Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Unaeza umizwa kichwa na form 4 failure?Makonda anawaumiza kichwa wapinzani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaeza umizwa kichwa na form 4 failure?Makonda anawaumiza kichwa wapinzani
Yani tanzania tuwe na waziri aliye foji cheti?Rais akiamua Bashite awe mbunge hashindwi, kwani Tulia, Kabudi nk. ni wabunge wa wapi?
Akiamua kumpa u Waziri Bashite hashindwi anamteuwa ubunge na kumpa u Waziri, very simple. Kwa hiyo kusema bashite anataka uwaziri nk si kweli, uwaziri anatoa rais kwa anayemtaka.
labda anataka kumrithi Kasimu MajaliwaHivi mbunge wa jimbo na mkuu wa huo mkoa nani mkubwa au target ni uwaziri? Na je waziri na mkuu wa mkoa nani mkubwa? Au Target ni uspika?
Fikiria bunge ambalo spika ni Paulo Makonda, humo ndani kutakuwa na comedy za ajabu.Wanataka wacheze mchezo Bashite apite ubunge ili afanikiwe kuingia bungeni apewe cheo kikubwa alafu jiwe liwe limeshika pande zote. Zee chizi kabisa badala ya kufikiria kuboresha nchi linafikiria litakamataje vipi watu
Kama anautaka uwaziri mkuu lazima awe mbunge wa kuchaguliwa na wananchiRais akiamua Bashite awe mbunge hashindwi, kwani Tulia, Kabudi nk. ni wabunge wa wapi?
Akiamua kumpa u Waziri Bashite hashindwi anamteuwa ubunge na kumpa u Waziri, very simple. Kwa hiyo kusema bashite anataka uwaziri nk si kweli, uwaziri anatoa rais kwa anayemtaka.
Well saidKwa wakazi wa Kigamboni nakiri kusema itakuwa furaha sana kama Mh Makonda akiwa mbunge kupitia jimbo hili,
maana huyu jamaa yupo karibu sana na Mh Raisi hvyo atatumia ukaribu huo kufanya ushawishi wa utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kijamii ktk jimbo hili..!!!
Win Win situation, tumpe ubunge tukimbie kimaendeleo
Licha ya mapungufu yake lakn Baniani mbaya kiatu chake dawa
Toto pendwa ya Baba haiwezi guswa!Ya Arusha yasije mkuta
Alafu wewe jamaa bana[emoji23][emoji23]Hivi mbunge wa jimbo na mkuu wa huo mkoa nani mkubwa au target ni uwaziri? Na je waziri na mkuu wa mkoa nani mkubwa? Au Target ni uspika?
nawewe unaamini?Hii ishu ya CCM kukataza viongozi wa mikoa vijana kugombea ubunge, ni jambo la ajabu sana. Sasa sijui demokrasia kwao ni nini?
Mdee anashinda asubuhi na mapema! Anakubalika sana KaweMIMI NIMEJIANDIKISHA KITUO CHA OYSTERBAY PRIMARY SCHOOL nimefanya hivyo ili nishiriki kulinda kura za mdee. ole wenu mlete sarakasi kama za 2015 manati itawahusu siku hiyo
Ndio amekutuma uje umpigie campaign sio?!
Zanzibar naskia nako kuna mtifuanoHili swali waulize wananchi wa Namibia, Ila hapa bongo hata mtoto wa chekechea anajua Rais atakuwa nani
Zanzibar naskia nako kunamtifuano