Uchaguzi 2020 Makonda apiga kambi ubunge Kigamboni

Uchaguzi 2020 Makonda apiga kambi ubunge Kigamboni

Rais akiamua Bashite awe mbunge hashindwi, kwani Tulia, Kabudi nk. ni wabunge wa wapi?
Akiamua kumpa u Waziri Bashite hashindwi anamteuwa ubunge na kumpa u Waziri, very simple. Kwa hiyo kusema bashite anataka uwaziri nk si kweli, uwaziri anatoa rais kwa anayemtaka.
Yani tanzania tuwe na waziri aliye foji cheti?
 
Kwani Paulo Makonda akiwa mbunge atapata nini cha zaidi ambacho kwa sasa hakipati ?
 
Wanataka wacheze mchezo Bashite apite ubunge ili afanikiwe kuingia bungeni apewe cheo kikubwa alafu jiwe liwe limeshika pande zote. Zee chizi kabisa badala ya kufikiria kuboresha nchi linafikiria litakamataje vipi watu
Fikiria bunge ambalo spika ni Paulo Makonda, humo ndani kutakuwa na comedy za ajabu.
 
Rais akiamua Bashite awe mbunge hashindwi, kwani Tulia, Kabudi nk. ni wabunge wa wapi?
Akiamua kumpa u Waziri Bashite hashindwi anamteuwa ubunge na kumpa u Waziri, very simple. Kwa hiyo kusema bashite anataka uwaziri nk si kweli, uwaziri anatoa rais kwa anayemtaka.
Kama anautaka uwaziri mkuu lazima awe mbunge wa kuchaguliwa na wananchi
 
UCHAGUZI 2025 : MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM MAJALIWA MAJALIWA

UCHAGUZI 2035 : MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM - PAUL MAKONDA


Hapo kuna kizazi mpaka kinazeeka kinapitia SHURUBA tu 😁😁😁
 
Kwa wakazi wa Kigamboni nakiri kusema itakuwa furaha sana kama Mh Makonda akiwa mbunge kupitia jimbo hili,
maana huyu jamaa yupo karibu sana na Mh Raisi hvyo atatumia ukaribu huo kufanya ushawishi wa utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kijamii ktk jimbo hili..!!!

Win Win situation, tumpe ubunge tukimbie kimaendeleo

Licha ya mapungufu yake lakn Baniani mbaya kiatu chake dawa
Well said
 
Hii ishu ya CCM kukataza viongozi wa mikoa vijana kugombea ubunge, ni jambo la ajabu sana. Sasa sijui demokrasia kwao ni nini?
 
MIMI NIMEJIANDIKISHA KITUO CHA OYSTERBAY PRIMARY SCHOOL nimefanya hivyo ili nishiriki kulinda kura za mdee. ole wenu mlete sarakasi kama za 2015 manati itawahusu siku hiyo
Mdee anashinda asubuhi na mapema! Anakubalika sana Kawe
 
Ndio amekutuma uje umpigie campaign sio?!

Kwa uchapakazi wake ulivyo na namna anavyokubalika kwa Mh Raisi, bila hata kutumwa au kuombwa nitampigia kampeni mtaa kwa mtaa
 
Kwanini hakwenda kugombea kwao kolomije? Au kule hawamfahamu na au amekataliwa?
Wana kigamboni msimkubali huyo jamaa kuwa mbunge wenu kwani Hana Nia njema na mashamba yenu na haji kuwasaidia Bali kuwapora ardhi yenu! Mkimbizeni akagombee kwao!
 
Back
Top Bottom