Uchaguzi 2020 Makonda apiga kambi ubunge Kigamboni

Uchaguzi 2020 Makonda apiga kambi ubunge Kigamboni

alianza kupitapita jimbo la Kawe, kamwaga vihela vyake uchwara but kakuta wakazi wa jimbo hilo wanajitambua wakabaki wanamwangalia kama hawamuoni vile - zero shobo yaani.

naona sasa kaenda kapeleka litmus test jimbo la Kigamboni.
Kawe Mbunge wetu ni Halima Mdee.
 
Kwa wakazi wa Kigamboni nakiri kusema itakuwa furaha sana kama Mh Makonda akiwa mbunge kupitia jimbo hili,
maana huyu jamaa yupo karibu sana na Mh Raisi hvyo atatumia ukaribu huo kufanya ushawishi wa utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kijamii ktk jimbo hili..!!!

Win Win situation, tumpe ubunge tukimbie kimaendeleo

Licha ya mapungufu yake lakn Baniani mbaya kiatu chake dawa
Ndio amekutuma uje umpigie campaign sio?!
 
Kwa wakazi wa Kigamboni nakiri kusema itakuwa furaha sana kama Mh Makonda akiwa mbunge kupitia jimbo hili,
maana huyu jamaa yupo karibu sana na Mh Raisi hvyo atatumia ukaribu huo kufanya ushawishi wa utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kijamii ktk jimbo hili..!!!

Win Win situation, tumpe ubunge tukimbie kimaendeleo

Licha ya mapungufu yake lakn Baniani mbaya kiatu chake dawa
Hizi ni akili za kuvukia barabara tu. Eti unchague mbunge kwa kuwa yupo karibu na rais badala ya kuangalia uwezo wake kuunganishwa Wananchi na kuleta maendeleo? Kweli hamnazo.
 
Mkuu wa Mkoa Hana uhakika na ajira yake kama ilivyo kwa Gambo leo inategemea na maamuzi ya aliekuteua.

Mbunge uhakika Mishahara Mkubwa, marupurupu na posho kubwa kubwa mwisho wa siku baada ya miaka mitano inapewa zaidi ya milioni 200 kiinua mgongo.

Isitoshe mbunge sio Mtendaji yeye kupiga mdomo tu kama Mlinga Msukuma ama Lusinde halafu unaonekana shujaa..
Ubunge Raha Sana, hata ukiwa unaenda kulala au kutafuta totoz tu au usiende kabisa hakuna wa kukuuliza. Mwenyekiti kaanguka na lakini akaunti imesoma 250m, Wengine hawajulikani walipo mf Muhongo, Mkono lakini akaunti zinasoma tuu. Sasa mkuu wa mkoa akae mwezi tu hajulikani alipo haiwezekani.
 
Wanataka wacheze mchezo Bashite apite ubunge ili afanikiwe kuingia bungeni apewe cheo kikubwa alafu jiwe liwe limeshika pande zote. Zee chizi kabisa badala ya kufikiria kuboresha nchi linafikiria litakamataje vipi watu
Rais akiamua Bashite awe mbunge hashindwi, kwani Tulia, Kabudi nk. ni wabunge wa wapi? Akiamua kumpa u Waziri Bashite hashindwi anamteuwa ubunge na kumpa u Waziri, very simple. Kwa hiyo kusema bashite anataka uwaziri nk si kweli, uwaziri anatoa rais kwa anayemtaka.
 
Rais akiamua Bashite awe mbunge hashindwi, kwani Tulia, Kabudi nk. ni wabunge wa wapi?
Akiamua kumpa u Waziri Bashite hashindwi anamteuwa ubunge na kumpa u Waziri, very simple. Kwa hiyo kusema bashite anataka uwaziri nk si kweli, uwaziri anatoa rais kwa anayemtaka.
LABDA anataka kuraise stake Hadi ya probability ya PM.
 
Kwa wakazi wa Kigamboni nakiri kusema itakuwa furaha sana kama Mh Makonda akiwa mbunge kupitia jimbo hili,
maana huyu jamaa yupo karibu sana na Mh Raisi hvyo atatumia ukaribu huo kufanya ushawishi wa utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kijamii ktk jimbo hili..!!!

Win Win situation, tumpe ubunge tukimbie kimaendeleo

Licha ya mapungufu yake lakn Baniani mbaya kiatu chake dawa
ni heri tu tumecheleweshwa sana akija itakua mchaka mchaka. Kigamboni itakua kama Dubai. Swali la kujiuliza inashindikana vipi eneo hili lisiwe kama Dubai ili hali imejaaliwa fukwe na maeneo mazur.
mh Makonda kaza kamba

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: tyc
Hivi mbunge wa jimbo na mkuu wa huo mkoa nani mkubwa au target ni uwaziri? Na je waziri na mkuu wa mkoa nani mkubwa? Au Target ni uspika?
Mbunge ana tenure ambayo haiwezi kutumbuliwa na mamlaka yoyote, labda akutwe na hatia katika makosa ya jinai
 
Rais akiamua Bashite awe mbunge hashindwi, kwani Tulia, Kabudi nk. ni wabunge wa wapi?
Akiamua kumpa u Waziri Bashite hashindwi anamteuwa ubunge na kumpa u Waziri, very simple. Kwa hiyo kusema bashite anataka uwaziri nk si kweli, uwaziri anatoa rais kwa anayemtaka.
Aliyesema uwaziri nani? haha soma uniambie nilipoandika neno uwaziri ni wapi.
 
Naona bavicha mko bize kuwasemelea wale vijana wa sisiemu ambao wanawalaza na viatu...
Kuna mwenzako katoka kumsemelea gambo na kina mnyeti wa arusha muda si mrefu...na bado, hawa vijana ni wanakula nanyi sahani moja, hamna namna, hamna namna mnaenda wakwepa!, na ali hapi bado hajaanza kuwashindilia...
Hawana lolote zaidi wanategemea kubebwa kwa mbeleko ya vyombo vya dola na magumashi kama yale yaliyofanyika katika chaguzi za marudio na uchaguzi wa serikali za mitaa.
 
Hili swali waulize wananchi wa Namibia,
Ila hapa bongo hata mtoto wa chekechea anajua RAISI atakuwa nani
Kweli kabisa mkuu,hata watoto wanajua atakua ni Ole Sabaya.
 
ni heri tu.tumecheleweshwa sana akija itakua mchaka mchaka.kigamboni itakua kama dubai.
swali la kujiuliza inashindikana vipi eneo hili lisiwe kama Dubai ili hali imejaaliwa fukwe na maeneo mazur.
mh Makonda kaza kamba

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Hata Kigoma Rais wa nchi JK aliahidi itakua kama Dubai leo nenda huko sijui Mwandinga,ujiji,Kibondo uone palivyogeuka kua Dubai.
 
Kawe Mbunge wetu ni Halima Mdee.
MIMI NIMEJIANDIKISHA KITUO CHA OYSTERBAY PRIMARY SCHOOL nimefanya hivyo ili nishiriki kulinda kura za mdee. ole wenu mlete sarakasi kama za 2015 manati itawahusu siku hiyo
 
Back
Top Bottom