Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Kawe Mbunge wetu ni Halima Mdee.alianza kupitapita jimbo la Kawe, kamwaga vihela vyake uchwara but kakuta wakazi wa jimbo hilo wanajitambua wakabaki wanamwangalia kama hawamuoni vile - zero shobo yaani.
naona sasa kaenda kapeleka litmus test jimbo la Kigamboni.