Pre GE2025 Makonda: Arusha itaongoza kwa kura nyingi za Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
“Mheshimiwa Rais, huu ndio Mkoa [Arusha] ambao kaka yangu Dkt. Nchimbi atakuja kukuletea idadi ya kura nyingi zilizopatikana kwenye uchaguzi. Haya nayasema kwa sauti ya unyenyekevu kwa sababu najua mkutano huu sio wa siasa, lakini nakuhakikishia Mheshimiwa Rais utapata kura nyingi sana.” – Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Arusha katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani

Pia soma:Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
GlgzL1WWYAAdDGL.jpg
 
Ngoja tuone, maana watu wanazungumzia habari zijazo na wakati hawajafika wala kukaribia huko...
 
“Mheshimiwa Rais, huu ndio Mkoa [Arusha] ambao kaka yangu Dkt. Nchimbi atakuja kukuletea idadi ya kura nyingi zilizopatikana kwenye uchaguzi. Haya nayasema kwa sauti ya unyenyekevu kwa sababu najua mkutano huu sio wa siasa, lakini nakuhakikishia Mheshimiwa Rais utapata kura nyingi sana.” – Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Arusha katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani

Pia soma:Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3263723
Huyu pamoja na kubebwa ila bado kuijua dunia
 
Back
Top Bottom