Pre GE2025 Makonda asema pesa za kujenga ofisi ya CHADEMA zimetolewa na Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyo taktaka makonda kesho yupo hapa Arusha... .. atakuwa USA river najiandaa kwenda kumshika makalio asijidanganye anakuja kwa mabinjooo aloo!!, Akileta fedhea atakipata chakudekelee.
 
Kwa hiyo umeamua kumuamini mwenezi wenu roporopo?
 
Duh...!, kumbe...!.
P
 
Ile nyumba ya mtu waliyopanga CHADEMA pale mikocheni ndio kusema imejengwa na hela za CCM au kodi kalipa mama!

Ufafanuzi tafadhali.
 
Kusema uongo ni dhambi!

Your browser is not able to display this video.
 
Ile nyumba ya mtu waliyopanga CHADEMA pale mikocheni ndio kusema imejengwa na hela za CCM au kodi kalipa mama!

Ufafanuzi tafadhali.
Makonda ni mropokaji tu hivi hajui kuwa CAG anapita hata kwenye vyama vya siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…