Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo umeamua kumuamini mwenezi wenu roporopo?Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Paul Makonda akiwa Himo Mkoani Kilimanjaro katika ziara yake kutembelea mikoa 20 nchini kufuatilia utekelezaji Ilani ya CCM amesema.
"Wenzetu wa CHADEMA wanasema eti maridhiano yaliyoletwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan eti hayana faida yoyote na kwamba Serikali kazi yao ni kuwakandamiza tu wananchi hapana."
Serikali ya Rais Samia ndio imetoa fedha za ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA ili waondokane na adha ya kupanga tangu chama hicho kianzishwe. Nimeamua kusema maana wenzetu CHADEMA kazi yao kueleza mabaya tu na sio mazuri kama haya ambayo Serikali inawafanyia wananchi.
Duh...!, kumbe...!.Serikali ya Rais Samia ndio imetoa fedha za ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA ili waondokane na adha ya kupanga tangu chama hicho kianzishwe. Nimeamua kusema maana wenzetu CHADEMA kazi yao kueleza mabaya tu na sio mazuri kama haya ambayo Serikali inawafanyia wananchi.
Alaaa tulikua hatufahamu kama mnafahamiana na mpo kijiwe kimoja cha mwenge hauvuki kijiji!Kwani bange Bado unaendelea kuvuta tu?
Makonda ni mropokaji tu hivi hajui kuwa CAG anapita hata kwenye vyama vya siasaIle nyumba ya mtu waliyopanga CHADEMA pale mikocheni ndio kusema imejengwa na hela za CCM au kodi kalipa mama!
Ufafanuzi tafadhali.