NeverExisted
JF-Expert Member
- Apr 22, 2010
- 406
- 619
Huyu RC si alisema mbele ya waandishi wa habari yale makontena sio yake.Eti Mpango sasa na yeye aonekane wa maana kwenye huu upuuzi.Anyway, ni maigizo na sarakasi zao za kila siku, kuna jipya? Watu wajifunze kuwa ignore