NeverExisted
JF-Expert Member
- Apr 22, 2010
- 406
- 619
pole yake kwani atapata hofu na huzuni sanaApambane tu na hali yake
Punguza muhemko kwanza ili tujadiliane.Yaani unasema RC wetu ni mpinzani?? Waziri wa shilingi naye alipofungua na kutuonesha vyombo vya mahotelini naye ni mpinzani uchwara?? Naona unatafuta kupopolewa mawe wewe
Rc Makonda kama ulijua huo ni msaada kwa nini uliruhusu waandike jina lako? Nadhani hawakuchukii ni sheria ya Kodi inafuatwa. Jina binafsi Kodi inakuhusu wee lipa tuu. Sheria MsumenoMkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda jana alifanya ibada maalum kanisani kwa ajili ya makontena yake yenye samani za shule yanayoshikiliwa na TRA
Katika ibada hiyo Makonda alionya watakao nunua makontena yake watapata laana kali
Pia aliwarushia dongo TRA akisema ni watu wabaya wasio na huruma na kudai kuwa wanamchukia Makonda
"Kama wanachukia Makonda waondoe nembo ya majina yangu kwenye makontena hayo" alisema Makonda
Ni mara nyingine viongozi wa serikali wanasuguana na taasisi za serikali katika kutekeleza majukumu yake huku kiongozi huyo wa mkoa akihisi anaonewa na ni wivu unaofanywa na TRA kisa anafanya vizuri katika mkoa wake
Juzi Paul Makonda alikaririwa na vyombo vya habari kuhusu kupigwa mnada makontena yake,akisema yeye hatishiki na ni mlima hawezi kuyumbishwa na wale wasiomtakia mema katika harakati zake za maendeleo ya Dar es salaam
Kwa hali ilivyo sasa ni dhahiri kuwa Makonda analaumu serikali kumhujumu na hakubaliani na TRA na mambo inayomfanyia
Nahisi makonda bashite albertHilo dua lilikwenda kwa Mungu kwa jina gani?
Na amesisitiza kwamba, hata tena ikishindikana..... serikali itazigawa kwenye shule nchinidr mpango kawaagiza TRA kutanganza mnada tena
Kwa sheria ipi??Mie naona kama ni vifaa vya shule na Makonda alikusudia kuyasambaza mashuleni,washirikiane na TRA shule zipate vifaa.
Wakipiga mnada ina maanisha shule binafsi zitanufaika zaidi
[emoji252] [emoji479]
Nimeanza na "mie naona"
Vitu vyake!?? Mbona wabongo mnakuwa wajinga na wapumbavu kiasi hiki....!?? Inamaana wakati vinaagizwa hata kama alipewa msaada hakujua kuna swala la kodi..!?? Na aliviagiza kwa jina la nani...la mkoa au la kwake...Mkuu ina maana wewe vitu vyako vikipigwa mnada utakaa kimya?
Kwanza hao TEA ndio kitu gani? ni TIE.TEA wanaweza kulipa vifaa ambavyo hawajaagiza?Tena vimekuja kwa jina la Makonda!