Hakuna Mahala kwenye biblia Mungu anapohamasisha kulaani tena anasisitiza kuwapenda hata maadui zetu, ingawa ni ngumu lakini ndio hivyo.Huwa najiuliza hao wachungaji nao kama wana njaa vile na wana muda mchafu wa kusikiliza hilo jambazi liuaji lisilotubu, msikitini hawana huo ujinga walichambwa once wamerudi kwenye lane.
Kitako cha habari[emoji23]Kichwa cha habari kingine ,kitako cha habari kingine
Kwa sofa zinazochongwa pale keko furniture ni mara 1000 wangepewa tenda maseremala wazawa maana ingesaidia kuinua uchumi wa ndani kuliko kuagiza vitu hivyo USA.Hizo containers ni mali ya Makonda,ndio maana yamekuja kwa jina lake.Alipe kodi,akishindwa yauzwe serikali ipate mgao.
Hao ma diaspora kwanini wasingetuma hela madawati yachongwe huku Tz kuepuka hiyo adha wanayoipata sasa!
Inaweza kuwa wamepata bure,lakini gharama ya kuzisafirisha na hiyo kodi bora wangenunulia fenicha huku Tz.
Havijanunuliwa, ni msaadaKwa sofa zinazochongwa pale keko furniture ni mara 1000 wangepewa tenda maseremala wazawa maana ingesaidia kuinua uchumi wa ndani kuliko kuagiza vitu hivyo USA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namaanisha hao diaspora walioleta huo msaada wangeombwa kutoa in cash ili hizo thamani zitengenezwe ndani. Kwa miaka zaidi ya milion iliyopita Tanzania ina maliasili hasa miti mingi sana kuliko nchi zingine zote ukanda huu.Hivyo basi kwa kuwa hata wazawa wangeweza kutengeneza samani kama hizo basi ingefaaa watengeneze ndani ya nchi ili kuepuka usumbufu
Kwenye meli napo walipata msaada?
Yah, yamekuja kwa msaada, kwenye meli walisubiri wapaki yale yanayolipiwa kwanza afu nafasi ikabakia wakapaki ya free, hata kushusha walishusha kwanza yaliyolipiwa wakaenda kupumzika wakarudi wakashusha yale free [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwenye meli napo walipata msaada?