Uko sahihi ndugu,lakini gharama za kusafirisha na kodi zipo juu.Mkuuu fanicha nje n cheap compared na hapa bongo ndo maana wali imports
Sent using Jamii Forums mobile app
In the same line alipe sasa in his name, atumie his publicity ku raise hiyo pesa ya kodi ikalipwe sawa na sheria inavyotaka. Kulazimisha sheria ipindishwe in his favor unamuharibia kabisaaa....Kaandika majina ili yajulikane ni juhudi zake sasa wewe unaleta hadithi ya kuyageuza yawe ya wizara ya elima sasa huoni unaenda against na mpango wake wa kujitengenezea publicity kwenye jamii ili ateuliwe kuwa waziri wa mambo ya ndani then agombee urais
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nchi ni yetu soteMkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda jana alifanya ibada maalum kanisani kwa ajili ya makontena yake yenye samani za shule yanayoshikiliwa na TRA
Katika ibada hiyo Makonda alionya watakao nunua makontena yake watapata laana kali
Pia aliwarushia dongo TRA akisema ni watu wabaya wasio na huruma na kudai kuwa wanamchukia Makonda
"Kama wanachukia Makonda waondoe nembo ya majina yangu kwenye makontena hayo" alisema Makonda
Ni mara nyingine viongozi wa serikali wanasuguana na taasisi za serikali katika kutekeleza majukumu yake huku kiongozi huyo wa mkoa akihisi anaonewa na ni wivu unaofanywa na TRA kisa anafanya vizuri katika mkoa wake
Juzi Paul Makonda alikaririwa na vyombo vya habari kuhusu kupigwa mnada makontena yake,akisema yeye hatishiki na ni mlima hawezi kuyumbishwa na wale wasiomtakia mema katika harakati zake za maendeleo ya Dar es salaam
Kwa hali ilivyo sasa ni dhahiri kuwa Makonda analaumu serikali kumhujumu na hakubaliani na TRA na mambo inayomfanyia
Sijui
Sie tunasubiri serikali iyataifishe shule zigawiwe bureDiaspora mnaojipendekeza! Usiseme “sisi” jisemee wewe mwenyewe unayejipendekeza kuguswa.
Mimi ni diaspora and dont tell me about huu upuuzi wa kuchangia fanicha za makonda
😀😀😀ningekua na hela ningechangia,au nipe hio hela nichangie 😀😀😀😀😎😎
Ana mungu wake huyo sii huyu wa kwetu anayekataza kudhuru binadamuHilo dua lilikwenda kwa Mungu kwa jina gani?
Hata mie nimeiona nimeshtuka kweli Mange kiboko lile wowo janga la Taifa.
KUWA MSINDIKIZAJI TU HAINA SHIDASiwezi kushiriki mimi sio muislam.
Alipe makonda mimi siwezi beba box kwenye mazingira magumu kwenye barafu, ubaguzi Alafu nikachangia upuuziKila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe. Wakti anaagiza hakushirikisha mtu, kutoa haituhusu pia, alijua dili zake kama zilivyo zingine. Sasa “mkoa wake” Dar unamcheka
Akijaribu kufanya hivo, nitabiri hatokuja kusikika tena katika utawala huu!.Kwanza salaam zako Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,
Tumefuatilia suala ilo na kuguswa na namna ambavyo juhudi zako zimegonga mwamba za kuhakikisha walimu wanapata teaching aids na wanafunzi wanapata learning materials,
Mkuu wa Mkoa sisi ma diaspora tumeguswa sana na jinsi ambavyo makontena hayo uamezuiwa mbaya zaid kuna vi kashfa fulani fulani tunaomba uweke Sawa taarifa hizi ili utupe imani ya kuchanga bila wasiwasi,
1. Tunaomba tujue idadi ya makontena yaliyotumwa na mangapi yameshatoka bandarini mangapi hayajatoka na yaliyotoka yako wapi yametoka lini na yamegawiwa shule zipi?
2. Kwanini usifanye utaratibu kubadili majina yakawa ya wizara ya elimu Tanzania kuliko kuwa na jina lako pale, ili tujiridhishe kwamba nia ni kusaidia elimu na si vingine,
3. Kwanini usiruhusu au usikubali kukaa meza Moja na waziri mkapanga kwamba yauzwe nusu Hela inayopatikana ilipie mengine yatoke na yagawiwe bule,
4. Tuna omba orordha ya watu waliofanya donation na address zao kupitia magazeti ya serikali,
5. Alafu Tunaomba maelezo mbona asilimia kubwa ya furniture zile ndo kama zinazouzwa kwa ajili ya maofisi na receptions au nia yako haikuwa madawati ilikuwa kwa ajili ya Meza tu?
Mwisho utupatie uhamasishaji tuchangie kiasi kitakacho kosa makontena yatoke yakabidhiwe wizara ya elimu ndo wagawe hayo madawat na meza
Nathan JR
00069 PGH Finland. Sörnäisten rantatie 18 F Helsinki. H
+380686706696
BABA ALISHA ambiwa akiendelea kumbeba mwana huyu atamnyea na kumchafua zaidi. hapa habebeki japo hatamtelekeza.Si alisema anaenda kuwashitaki kwa Baba?
Je huu ndo mwanzo wa mwisho wake?