Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

Mwanzilishi wa uzi huu nakukatalia katakata kwa asilimia 100.

Sijui kama wewe ni mwalimu au una uhusiano wowote na Makonda kwa hili ninakataa with a BIG NO!!
Lazima watu tukubali kuwa RC Makonda amechemka na hatakiwa kutetewa kwa lolote hapa. Wahenga walishasema NDEGE MJANJA HUNASWA NA TUNDU BOVU.......!!!

Huu ndiyo mwanzo na mwisho wa Mukuda.....labda tu huyo BabaShite aendelee kumbeba na kumkingia kifua.....Lakini tunapoongea ilitakiwa Makonda awe amesha ondolea kwenye u-RC maana ameonyesha dharau, kebehi na jeuri ya hali ya juu kujaribu kuopingana na sheria ya KODI ya nji hii.

Makonda must go...!!!
 
HAKUNA ALIYE JUU YA SHERIA...SHERIA NDIO SULUHU WA ILO WALA HAKUNA ATAKAYE LAUMIWA IKIWA SHERIA IMEFUATWA......TUJUAVYO MZIGO BINAFSI HUAGIZWA KWA MTU BINAFI NA TAASISI VILEVILE WANA UTARATIBU WAO WALA SIO MZIGO WA SERIKALI KUAGIZWA NA KW3A JINA LA BINAFSI......SHERIA HAIANGALII HURUMA ILA INAANGALIA HAKI KUFUATWA....KAMA NI HURUMA BASI HAKUNA AMBAYE ANGELIPISHWA FINE,KWENDA JELA WALA KUNYONGWA WATU......HALAFU IZO PESA ZAKUNUNUA ZIMECHOTWA WAPI WAFUATILIE NA HUO MUAMALA KUJIRIZSHA UHALAL WAKE
 
Sheria iko wazi, alipe kodi wakigoma si kasema juzi, hiyo inasubiliwa hazina iko pending
 
Mwambie makonda alipe kodi ngonjera hamna hapa huoni mkoa unashuka kimapato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We um
 

Guys,
Hizo SAMANI hazina umuhimu wowote kwa Watanzania iwe wa Dares-saalam au Koromije. Serikali kupitia Wizara ya Elimu ilishakuwa na mpango kabambe wa KUTENGENEZA MADAWATI ya Wanafunzi kutokana na misitu yetu. RC Makonda alishindwa nini kuanzisha kampeni ya KUCHONGESHA SAMANI KAMA ALIVOFANYA KWENYE MADAWATI tena kwa kutumia mbao na malighafi ya Kitanzania badala ya kuingia gharama za kipuuzi kuagiza Fenicha toka Ulaya??

Nakumbuka kuna sera ya kuhimiza Watu kununua na kutumia Samani za hapa nchini badala ya kuagiza toka nje na ndo maana Fenicha toka nje zinatozwa Ushuru/Kodi kubwa ku=discourage watu kununua Fenicha toka nje.
Makonda kma RC alitakiwa alijue hili.....Lakini ndo hivo ngoma ikilia sana mwisho wake ni kupasuka.....Mkonda ajiandae tu kurudi kwenye kazi yake ya Ukonda huko Mtaa wa Makoroboi na Koromije...!!! Yajayo yanafurahisah sana.
 
Hapa kodi tu, lipeni walimu mishahara bora sio fenicha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wew ndio umekurupuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria ni msumeno mkuu,acha kutapatapa! Hapo kuna upigaji,tumeshtuka!!! Kwanini hayakuingizwa kwa jina la serikali? Kwanini mara ya kwanza ayakatae?? Alipe kodi tu hakuna namna!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kikubwa ni kujiridhisha kama mali si za MTU binafsi
WAZIGAWE MASHULENI.
shida IPO wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazigawe kusambaza mashuleni kwa gharama ya nani?Huo sio utaratibu wa sheria iliyopo ya kusimamia shehena. Ukiagiza mzigo ukashindwa kuulipia kodi ama ukakosa mwenyewe utaratibu sheria ni Unapigwa mnada serikali inaingiza pato lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhani kwa nini siku ya kwanza alipoulizwa kuhusu container hizo aliruka futi mia kwamba hamsini nazo something fish iko na hizo cont

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Laana atapata yeye kwa kuwabambikizia watu makesi ya madawa ya kulevya na kuwafedhehesha watumisha wa uma.Laana hiyo haitamwacha kamwe.
 

Ulipotumia neno koromije ndio umeharibu kila kitu kwenye lengo la hoja yako.

Watu kama wewe wamejaa mitandaoni. Wanaitwa manabii wa majanga.

Ni mmoja wasiojisumbua kufuatilia upande mwema wa mtu fulani. Matokeo yake mnatoa hukumu ya upande mmoja.
 
Kama shida ni hiyo atahamishwa kuliko kutukosesha kodi. Kwani wanaolipa kodi ni form four, sisi hilo halituhusu tunataka kodi tuboresha hospitali za akina mama watuzalie wanatu kwa uhakika hayo ya meza pitisheni harambee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…