tzcountry I love
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 729
- 641
Vyombo vya kusimamia vifaa vifike vinapotakiwa viko vingi wala haliitaji uchunguzMkiendekezi hii tabia, ipo siku mtu ataingiza mizigo yake kwa style hii ambayo kwanza hakuna mwenye uhakika kama vifaa hivyo vyote kweli vinawafia walengwa au ni janja tu.
Na kwa jinsi jambo hili linavyokwenda mpaka sasa, ni dhahiri unahitajika uchunguzi wajulikane ni kina nani walituma vifaa hivyo na shule gani hasa zilizolengwa kupewa hiyo misaada.
Hili jambo lina ukakasi unaohitaji uchunguzi maana huenda si kila kifaa kitaenda kutolewa kama msaada.
Na nikwambie tu, vifaa hivyo vingekuwa vimeingizwa na mtu kutoka upinzani, vingeshapigwa mnada siku nyingi tena huyo Makonda angeweza hata kuingilia viuzwe haraka japo kisheria hahusiki.
Tena namshauri waziri Mpango awe makini na kama kuna mtu atamshinikiza atoe msamaha,basi ahakikishe mtu huyo anatoa agizo kwa njia ya maandishi vinginevyo ajiuzulu kwani ipo siku anaweza kuja kujikuta anawajibika kwa matumizi mabaya ya madaraka na kuikosesha serikali mapato.
Wanasiasa sio watu, hawachelewi kukugeuka.
Tukumbuke sheria tunatunga wenyewe na kuzipitisha kwa mbwembwe.
Swali: Iweje leo tuzione chungu?
Tunavuna tulichopanda.
Hahaaaaaaaaa ni bendera fuata upepo wengi shubaaamit zaoYani hapa ndo Wana ccm wameshindwa wawe wapi either kwa RC or Waziri.
Mana unaweza ukawa kwa Wazira yakamkuta ya Nape wakashindwa kula matapishi yao, wakawa kwa RC ukasikia amepangiwa majukumu mengine? Niwashauri tu Wana ccm mlivyokua ni wafuata upepo kuweni tu katikati uku mkisubri Baba yenu ataamua nini, ili atakako favor ndo muende uko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kimla, kwanza asante kuniheshimu, heshima is earmned, na ikipotea, its gone!. Siku zote mimi ni mkweli na very transparent, nikiamini transparency ndio the only way ya ku resolve hii issue. Containers zile 20 zimefunguliwa, ni samani new and used.Paschal huwa nakuheshimu sana ila kwa hili tumia akili kwanza.Nilitarajia ufanye utafiti nakujiridhisha kujua nyuma ya pazia lakini hata Eagles wameshindwa kukwambia ukweli. Nakwambia mizigo hiyo wameweka vitu vya shule vichache lakini vitu vingi ni kwa matumizi ya hotel yake inayojengwa mwanza. Suala la walimu wa Dar Es Salaam linatumiwa lakini linakitu nyuma ya Pazia. Hivi hukumbuki simba wakati wanaenda kucheza chambion league africa walikwa wakienda na mipira mingi ila ikifika kule wanakokwenda basi mipila inachukuliwa wanapewa mingine. Huo wakati ilikuwa ndo ujanja wakuuza Gnada kwa wafadhili simba wa wakati huo.Sasa suala la vifaa vya Makonda kunakitu kikubwa nyuma ya Pazia. Kama shida ipo basi waliovitoa watoe na lisiti walipovinunua. Fuatalia kama utaona ukweli kama kuna watanzania wamechangia mzigo huo. Mbona container 16 zimesimanishwa kuja TZ na hao waliok markeani baada ya ngoma kugoma. Mbona Makonda aliikataamizigo mwanzoni alipohojiwa. Kunauchafu mwingi nyuma ya hii sakata. Waziri kahukua uamzi sahihi.
Hatuna haja ya kuuliza, si tunataka kodi, we unayetaka kuuliza ruksa tutapotezeana muda, kuna nchi jirani hawana bandari tunahitaji hiyo nafasi ya macontenaMbona hatuulizi ni kwa nini basi Makonda aliweza kutoa contena 16 kwa jina lake kutoka 36 za awali. Na je hizo 16 amezigawa wapi? Anayejua hili atuambie!
mkuu hapo ni sheria imefuatwa, unataka ipindishwe? Mmezoea vya kunyonga vya kuchinja hamuviwezi! Usiwe mgumu kuelewa ni nani atadhibitisha kua vinaenda mashuleni? Hii inaonyesha ni mali ya mtu binafsi hivyo lazima itozwe kodi stahiki!
Hajaingiza kwa jina lake, Kaingiza kwa jina la paul makonda! Labda ni jina la shule jamani! Hivi kwani hamna shule inayoitwa paul makonda? Nimeambiwa DAB NDIYO SHULE ALIYOISOMEA KULE KOLOMIJE. Nawakilisha!Hapo tatizo ni kwa nini aingize mzigo wa msaada kwa jina lake basi hayo mengine wao hawayahitaji
Shule ganimkuu ndicho nashangaa watu wanavyonishambulia hapo juu lakin ukweli unajulikana kabisa hivyo vitu n vya shule
Hatuna haja ya kuuliza, si tunataka kodi, we unayetaka kuuliza ruksa tutapotezeana muda, kuna nchi jirani hawana bandari tunahitaji hiyo nafasi ya macontenaMbona hatuulizi ni kwa nini basi Makonda aliweza kutoa contena 16 kwa jina lake kutoka 36 za awali. Na je hizo 16 amezigawa wapi? Anayejua hili atuambie!
Acha hotuba Lipa kodi kwa maendeleo ya Taifa ndio slogan yetu. Slogan ya msamaha ipo kwenye dini hilo ulielwe sawa mkuu?Kama ni kweli vifaa hivyo ni kwa ajili ya shule, serikali ifanye yafuatayo:
1. ifuatilie kujua vilikotoka na staili iliyotumika kuvisafirisha;
2. Makondo ale kiapo kwamba vifaa hivyo ni kwa ajili ya mashule ya Dar es Salaam ili kuepuka kugeuziwa kibao;
3. ivipe msamaha wa kodi;
4. ihakikishe kwamba vinagawiwa vyote mashuleni kwa kumshirikisha yeye (Makonda).
Vinginevyo, mivutano hii itagawa chama na serikali. Kumbukeni tunajenga nyumba moja na hatuna sababu za kugombania fito!
Jitafakarini!
According to TRA officer hata ingeagiza office ya mkoa bado ingelipa kodi bcoz they are exclusive in tax exemption.Kwanza kwa mlio walimu mtanielewa ninaposema waziri kakurupuka wala hazijui changamoto za elimu
ukisikiliza kwa umakini kwenye hotuba yake ya juzi utagundua kabisa aelewi anachokiongea...
Anaongelea maswala ya elimu bure kitu ambacho ni nje kabisa ya mada ya makontena
swala hapa ni vifaa kwa ajiri ya kusaidia elimu ya dsm ambayo ina changamoto nyingi ikiwa na mrundikano wa wanafunzi na mambo kibao
Makonda inawezekana kuna sehemu alikosea katika mchakato huo lakini serikali walitakiwa kuwa wajanja wangeruhusu kwanza vitu viingie ndio waanze kuvimonitor wapate ushahidi wa kutosha ndio waje kumtuhumu.
matokeo yake wananchi nao wameyabeba na kusahau watoto wao ndio wanakaa chini milele
mimi niko na ushahidi kabisa nilienda shule moja na taasisi fulani kutoa msaada wa computer lakini unakuta walimu stafu viti tu vya kukalia haviwatoshi hii ni aibu kama mwalimu hana kiti stafu mwanafunzi je darasani itakuwaje?
tukiweka siasa pembeni Makonda yupo sahihi kabisa na ana nia njema ingawa anaweza kuwa kafanya makosa kutumia jina lake kwa ushauri mbovu wa watendaji waliopo chini yake lakini naamini tatizo letu la elimu ni kubwa mno kuliko jina la makonda kuwa kwenye makontenana hili swala tunalibabe kishabiki sana kama kawaida yetu...
kwamba mimi ni chadema Gambo akifiwa na mzazi wake nashangilia, mimi ni ccm Sugu akipata msiba nashangilia upuuzi mtupu.
Hivi waziri anavipiga mnada vitu vya shule za dsm watu tunashangilia leo halafu kesho jangwani secondary inakuwa ya mwisho tunaanza kumponda makonda ...
Hivi vitu vikinunuliwa na wafanya biashara sisi wananchi wa kawaida tutafaidika vipi direct kama ambavyo tungeviona kwenye shule zetu? namimi naongeza na alaaniwe kabisa atakae vinunua.
"Form four wanakaribia pia kuanza mtihani msisahau kuleta mrejesho hapa wa shule za umma"
Kupiga mnada na kuingiza fedha hazina ndio busara na hekima namba 1kusamehe kodi inabidi tutafute chuo walichompa mpango uDR wafanye mpango wafute na mteule atengue nafasi yake, ili mpango akose kazi ya mpango. Atakubali Mpango akose mipango?Naungana na mtoa post kupinga vikali upigwaji mnada vifaa hivo tena vya msaada, japo nakiri kwel Makonda kukosea hasa pale alipo amua kutumia jina lake badala ya taasis ya Elimu.
Bado nawasihi viongozi watumie busara na hekima hasa katika utatuzi wa matatizo mbali mbali ili kutoleta sintofaham kwa umma zisizo na tija kwa jamii.
Da Pride
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona watetezi ni wengi sana kwenye hili swala?
Watumishi tunakatwa Kodi kila uchao.
Kinachoshindikana nini yeye kulipa kodi?
Acheni 'sound' acha MTU alipe kodi.
Vimishahara vya kuunga tu huku serikalini kodi yake mpaka unasema ebwana ndio.
Huyu anatafuta janja janja ya kutolipa.
Mpango komaa atoe mzigo wetu
Tujifunze ustaarabu, tulipa kodi. MTU wa kodi kodi!!!
bahasha za khaki kaziniMbona watetezi ni wengi sana kwenye hili swala?
Watumishi tunakatwa Kodi kila uchao.
Kinachoshindikana nini yeye kulipa kodi?
Acheni 'sound' acha MTU alipe kodi.
Vimishahara vya kuunga tu huku serikalini kodi yake mpaka unasema ebwana ndio.
Huyu anatafuta janja janja ya kutolipa.
Mpango komaa atoe mzigo wetu
Tujifunze ustaarabu, tulipa kodi. MTU wa kodi kodi!!!