Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

Naunga mkono hoja
 
Ameandika jina lake kwa kutaka kiki sasa avumilie tu.
Samani zitapigwa mnada mara ya kwanza hadi mara ya tatu, visiponunuliwa mamlaka inavigawa kwenye shule mbalimbali nchini na lengo litatimia kwan sio shule za Dar tu zenye uhaba wa samani.
Lkn pia tukumbuke kuwa katiba ya nchi yetu imeweka utaratibu wa misaada / zawadi anayopokea kiongozi nje ya nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Tatizo ukuu wa Mkoa kigezo kikubwa ni kujua kusoma na kuandika tu.
 
Mtoa mada ukijibu maswali yafuatayo hutapata tabu kabisa.
1. Una uhakika kuwa kwenye makontena hayo kuna hayo material tu?

2. Unadhani ingekuwa ni msaada tu hakuna Mali binafsi wanazotaka wapitishe kwa njia hiyo waziri husika angegoma kuyapitisha?

3. Unadhani kwanini jiwe hataki kuingilia hili?

4. Nani kaorganize hao diaspora wakachangia zaidi ya contena 20?

5. Mwisho unajua sababu za kwa nini Makonda aliyakana mwanzoni kontena hizo?

Usilolijua ni kama usiku Wa giza, unaweza ukajiona unajua na wajuaji Wa mambo wakakushangaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria ya kodi inasema ukipewa msaada haulipii kodi ama?!

Lazima kuna kitu nyuma ya pazia hapo
 
Waganga njaa wametumwa na Bashite.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema wana wivu sana na Makonda lakini mkae mkijua amewaacha mbali sana na saco cos yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Kweli ukiwa ccm akili lazima iwe ndogo, Ni lini Mpango akawa chadema?
Ugomvi ni wa ndani kwenu Afu saizi mnaisingizia chadema , yamalizeni wenyewe.
Najua hapa mnaongea tu baba yenu akija kutoa tamko wote lazima mtafuata,
Ili msile matapishi yenu kaeni katikati ili msubili kauli ya baba yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo tulia na huo ukatibu wa wa UVCCM, Chamwino, naona umeamua kubet Katika hili
 
Mie nnaona Waziri Mipango katumia staha tu hajataka kumwaibisha Makonda... Ya laiti samani zote kwenye hizo containers zingekuwa kweli za shule nnahisi hizi kelele za kwamba anatakiwa kulipa kodi tusingezisikia kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnatujazia tu upuuzi wenu. Huyo Bashite na Dkt Mpango si wote ni CCM? Sasa Jamii Forums imekuwa NEC au Kamati Kuu ya CCM? Kwendeni huko!

Halafu acheni unafiki. Mbona hizo kelele za "kizalendo" kwenye makontena ya Bashite hatuzisikii kwenye mabilioni yanayopotea kwa Magufuli kununua wabunge na madiwani wa Upinzani kisha kuitisha uchaguzi wa kuwapitisha watu hao hao?

Nyie waganga njaa msitupotezee muda hapa. Nyie na Bashite wote akili zenu empty

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmhhh..!! Anko Mako ana wapiga debe wengi;kuzidi hata wa Ubungo terminal[emoji55]
 
ina maana hii thread yote hakuna mtu aliepo tra au bandari aseme ukweli wa hii saga ni upi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…