Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

Kwanza salaam zako Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,

Tumefuatilia suala ilo na kuguswa na namna ambavyo juhudi zako zimegonga mwamba za kuhakikisha walimu wanapata teaching aids na wanafunzi wanapata learning materials,

Mkuu wa Mkoa sisi ma diaspora tumeguswa sana na jinsi ambavyo makontena hayo uamezuiwa mbaya zaid kuna vi kashfa fulani fulani tunaomba uweke Sawa taarifa hizi ili utupe imani ya kuchanga bila wasiwasi,

1. Tunaomba tujue idadi ya makontena yaliyotumwa na mangapi yameshatoka bandarini mangapi hayajatoka na yaliyotoka yako wapi yametoka lini na yamegawiwa shule zipi?

2. Kwanini usifanye utaratibu kubadili majina yakawa ya wizara ya elimu Tanzania kuliko kuwa na jina lako pale, ili tujiridhishe kwamba nia ni kusaidia elimu na si vingine,

3. Kwanini usiruhusu au usikubali kukaa meza Moja na waziri mkapanga kwamba yauzwe nusu Hela inayopatikana ilipie mengine yatoke na yagawiwe bule,

4. Tuna omba orordha ya watu waliofanya donation na address zao kupitia magazeti ya serikali,

5. Alafu Tunaomba maelezo mbona asilimia kubwa ya furniture zile ndo kama zinazouzwa kwa ajili ya maofisi na receptions au nia yako haikuwa madawati ilikuwa kwa ajili ya Meza tu?

Mwisho utupatie uhamasishaji tuchangie kiasi kitakacho kosa makontena yatoke yakabidhiwe wizara ya elimu ndo wagawe hayo madawat na meza

Nathan JR
00069 PGH Finland. Sörnäisten rantatie 18 F Helsinki. H
+380686706696

Diaspora mnaojipendekeza! Usiseme “sisi” jisemee wewe mwenyewe unayejipendekeza kuguswa.
Mimi ni diaspora and dont tell me about huu upuuzi wa kuchangia fanicha za makonda
 
Diaspora mnaojipendekeza! Usiseme “sisi” jisemee wewe mwenyewe unayejipendekeza kuguswa.
Mimi ni diaspora and dont tell me about huu upuuzi wa kuchangia fanicha za makonda
Irudie thread utaelewa maana yangu
 
Talk about kuchangia kodi, kama kaingiza kihalali kwa nini asingefata sheria za msamaha? Kama ana nia ya kusaidia, je toka January hadi sasa wangeona yamekaa kimsaada wasingepitisha huo msamaha? unadhani wanaosema yapigwe mnada wajinga? Abebe msalaba wake mwenyewe!
Una akili sana!
kungekuwa na likes zaidi ningekupa
 
Talk about kuchangia kodi, kama kaingiza kihalali kwa nini asingefata sheria za msamaha? Kama ana nia ya kusaidia, je toka January hadi sasa wangeona yamekaa kimsaada wasingepitisha huo msamaha? unadhani wanaosema yapigwe mnada wajinga? Abebe msalaba wake mwenyewe!

😎
 
Diaspora mnaojipendekeza! Usiseme “sisi” jisemee wewe mwenyewe unayejipendekeza kuguswa.
Mimi ni diaspora and dont tell me about huu upuuzi wa kuchangia fanicha za makonda
Anajua kua makonda hawezi kutimiza hayo masharti. Nafikiri ameandika kuonyesha mapungufu ya chochote cha kumtetea makonda
 
Back
Top Bottom