technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Something is wrong! Mwana wa mfalme leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.
Kweli maisha yanaenda kasi sana sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu.
Vijana tuna la kujifunza hapa kwamba maisha ni gwaride mbele nyuma geuka .
Hakika amenipa funzo huyu jamaa kwa jinsi anavyosikitisha kwa Sasa
Leo Makonda ndio wa kupigwa vumbi na kushindwa kuchana nyele vizuri hata mwili kapungua.
Naisi mpaka machozi hili funzo ni hatari sana vijana tuishi kwa amani Dunia hii ina mengi sana.