Uchaguzi 2020 Makonda azuiwa kukaa Jukwaa Kuu kwenye mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM

Somethings is wrong!! Mwana wa mfalme Leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.

Kweli maisha yanaenda kasi Sana Sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu.
Wachawi wakichokana wanagombana hata hadharani, ila hawatoi kabisa siri zao za uchawini.
 
Somethings is wrong!! Mwana wa mfalme Leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.

Kweli maisha yanaenda kasi Sana Sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu.
Video hii hapa
 
Attachments

  • Maskini PAUL MAKONDA, kwa hiyo Mmeamua kumzuia KUINGIA__ Basi asimame huko huko ( 600 X 480 ).mp4
    2.1 MB
Somethings is wrong!! Mwana wa mfalme Leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.

Kweli maisha yanaenda kasi Sana Sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu.
Ana maudhi sana ila nimejikuta nina mhurumia
 
Anakaa jukwaa la viongozi yeye kama.nani?

Back
Top Bottom