Uchaguzi 2020 Makonda azuiwa kukaa Jukwaa Kuu kwenye mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM

Uchaguzi 2020 Makonda azuiwa kukaa Jukwaa Kuu kwenye mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM

Nimeona ile video, nimemuonea huruma kwa kweli. Anajuta kwenda kutia nia.
 
Karma...what goes around comes around...tuendelee kuangalia wapenzi watazamaji
 
Je baada ya kutemwa bashite,kange,nkamia wataendelea kusifu na kuabudu ili wasife njaa
 
Back
Top Bottom