Uchaguzi 2020 Makonda azuiwa kukaa Jukwaa Kuu kwenye mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM

Uchaguzi 2020 Makonda azuiwa kukaa Jukwaa Kuu kwenye mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM

Something is wrong!! Mwana wa mfalme Leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.

Kweli maisha yanaenda kasi Sana Sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu.

Vijana tuna la kujifunza hapa kwamba maisha ni gwaride mbele nyuma geuka .

Hakika amenipa funzo huyu jamaa kwa jinsi anavyosikitisha kwa Sasa

Leo Makonda ndio wa kupigwa vumbi na kushindwa kuchana nyele vizuri hata mwili kapungua.

Naisi mpaka machozi hili funzo Ni hatari Sana vijana tuishi kwa amani Dunia hii ina mengi sana.
Its just a psychological dooming, wakishaingia madarakani watamridishia mkoa wake, wamefanya hivyo kutengeneza kampeni tu tuamini kuwa wamechoshwa na shobo zake
 
Mbona inaonekana aliruhusiwa...kideo kinaonesha ni Kama anataarifu kuwa kafika..
Na mimi naona ilikua hivyo. Video imekatwa pale alipokua ameruhusiwa kuingia. Sikua nakubaliana na matendo ya huyu jamaa lakini clip hii ni kama imekatwa hapo ilipokatwa kwa makusudio maalum ambayo nahisi yamefanikiwa
 
Kukatwa sio Shida...hata kama aliruhusiwaa lakini baada ya Mabishanoo sana na wale walinzi kitu ambacho hatulutarajia kwa mtu kama makondaaa kutokea..!!
 
Back
Top Bottom