Uchaguzi 2020 Makonda azuiwa kukaa Jukwaa Kuu kwenye mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM

Uchaguzi 2020 Makonda azuiwa kukaa Jukwaa Kuu kwenye mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM

Ile video inafikirisha na kutia huruma dah!
No no protocol za ulinzi na usalama lazima zizingatiwe.
Huko Zanzibar Raisi wa Zanzibar Abeid Amani Karume alimiminiwa risasi na shemeji yake.
Makonda hayuko kwenye system ya utawala kwa sasa kibaya zaidi hakupewa mwaliko.
Huyo dogo ana makosa nyambata hata mind set yake ina mgogoro.
 
Mimi ndiyo maana nasema, hao wanaoitwa mabeberu wanaweza kupiga simu mbili tu na mtu wanayemtaka anakwenda Ikulu. Wakiamua CCM inaondoka tena kwa sanduku la kura.

Hawapendi tu kutumia karata zao hadi pale inapobidi.
 
No no protocol za ulinzi na usalama lazima zizingatiwe.
Huko Zanzibar Raisi wa Zanzibar Abeid Amani Karume alimiminiwa risasi na shemeji yake.
Makonda hayuko kwenye system ya utawala kwa sasa kibaya zaidi hakupewa mwaliko.
Huyo dogo ana makosa nyambata hata mind set yake ina mgogoro.
Kweli kabisaa...!! Jamaa ukute ana kitu anaweza fanyaa maana maisha haya bhana ni shidaa..
 
Sasa huyu raia bado anajua yeye ni kiongozi? Ajichanganye na rai wenzie tu vingine atakuwa anapata psychological torturing tu.

Shida ya kupenda utukufu akiendelea na kiherehere chake tutamkuta cocobeach kwenye kiroba kama alivyokuwa anawafanya wenzie.
 
Kumbe Lissu hatoshinda uRais mkuu, au hii kauli ulikua ukimaanisha nini
Wanangoja uchaguzi uishe wampe cheo kingine.Wamemtumia vibaya na kwakuwa hiki ni kipindi cha kampeni,watajidai kumtenga ili asiwaathiri na makandokando yake, ila uchaguzi ukiisha,watampa tena nafasi.

Subirini mtakuja kuniambia.
 
Mimi najichanga tu pesa nasubir ule mjengo wake wa igoma mwanza uje uchorwe ukutani na bank kuwa inapigwa mnada.

Hata mzee wake anayeishi umo anatusumbuua sana kitaa..tabia kama za mwanaye
Kumbe ashaibaa sana mpaka kumjengea baba yake State kabisaa...
 
Hahahaaa... Hata kwangu ilitokea vivyo hivyo ila hakuna namna zaidi ya kupambana.
Kweli Mkuu hakuna jinsi bora tule "Misumali ya Bati"-Dagaa mwanza na Uji wa chumvi watoto wasome shule nzuri ,ingekuwa enzi zetu ni mwendo wa kayumba tu,sema kwa mazingira ya sasa inabidi mtoto asome mazingira mazuri ili imsaidie kuja kupambana vizuri kitaa.
 
Sioni chakushangaza labda tatizo ni hawa vijana kufikia nafasi zao bila ya kueleweshwa ni tatizo la HR za serikali na succession planning.

Mambosasa ni mtu mkubwa sana kwenye jeshi la Polisi na ata askitaafu anaondoka na heshima yake. Anapompigia salute Mkuu wa mkoa sijui wilaya ampigii binadamu per se kwa tafsiri ya jeshi anapigia salute cheo kilichoshikwa na huyo mtu. Kwa ivyo yeye amuoni makonda bali anaona Mkuu wa mkoa.

Ni watoto wasiopewa mafunzo tu na kukabidhiwa nafasi kubwa bila ya kuelewa salute awapigiwi wao zinapigiwa nafasi walizobeba, bila ya hizo nafasi ni raia wakawaida tu.

Wacha wengine wajifunze kupitia kwa Makonda sio watu special kama wanavyojiaminisha, nje ya hizo teuzi na wajue kuna maisha baada ya kutumbuliwa.
 
Kweli Mkuu hakuna jinsi bora tule "Misumali ya Bati"-Dagaa mwanza na Uji wa chumvi watoto wasome shule nzuri ,ingekuwa enzi zetu ni mwendo wa kayumba tu,sema kwa mazingira ya sasa inabidi mtoto asome mazingira mazuri ili imsaidie kuja kupambana vizuri kitaa.
Ni kweli kaka, inatubidi tusiwe na choyo kwa kizazi chetu.
 
Back
Top Bottom