Uchaguzi 2020 Makonda azuiwa kukaa Jukwaa Kuu kwenye mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM

We acha tu jamaa namkubali sana maana kijana alionyesha anaweza uone sasa ana familia anajaribu kuhangaika kama baba apate nafasi maisha yaende hajali kudharauliwa kabisa😥😥😥
Akalime matikiti asomeshe mtoto
 
Dada wa taifaa katoa ubuyuu kuhusu yaliyomkuta bashitee
Screenshot_20200829-213424.jpeg
 
Something is wrong!! Mwana wa mfalme Leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.

Kweli maisha yanaenda kasi Sana Sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu.

Vijana tuna la kujifunza hapa kwamba maisha ni gwaride mbele nyuma geuka .

Hakika amenipa funzo huyu jamaa kwa jinsi anavyosikitisha kwa Sasa

Leo Makonda ndio wa kupigwa vumbi na kushindwa kuchana nyele vizuri hata mwili kapungua.

Naisi mpaka machozi hili funzo Ni hatari Sana vijana tuishi kwa amani Dunia hii ina mengi sana.
Kujifunza wapi Biblia Takatifu imeandikwa ajikwezae atashushwa ,asiyesikia na kukaza shingo yake itavunjiiiikaaaa
 
Image

Something is wrong!! Mwana wa mfalme Leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.

Kweli maisha yanaenda kasi Sana Sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu.

Vijana tuna la kujifunza hapa kwamba maisha ni gwaride mbele nyuma geuka .

Hakika amenipa funzo huyu jamaa kwa jinsi anavyosikitisha kwa Sasa

Leo Makonda ndio wa kupigwa vumbi na kushindwa kuchana nyele vizuri hata mwili kapungua.

Naisi mpaka machozi hili funzo Ni hatari Sana vijana tuishi kwa amani Dunia hii ina mengi sana.
 
Sasa angekaa jukwaa kuu kama nani? Kama alikuwa na matarajio hayo ana tatizo la kufikiri. Na kama walinzi/watu wa itifaki wangemruhusu nao wangekuwa na matatizo.
Hahahaaa alijisahau akadhani naye ni waziri mkuu mstaafu.
 
Back
Top Bottom