Uchaguzi 2020 Makonda azuiwa kukaa Jukwaa Kuu kwenye mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Something is wrong! Mwana wa mfalme leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.

Kweli maisha yanaenda kasi sana sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu.

Vijana tuna la kujifunza hapa kwamba maisha ni gwaride mbele nyuma geuka .

Hakika amenipa funzo huyu jamaa kwa jinsi anavyosikitisha kwa Sasa

Leo Makonda ndio wa kupigwa vumbi na kushindwa kuchana nyele vizuri hata mwili kapungua.

Naisi mpaka machozi hili funzo ni hatari sana vijana tuishi kwa amani Dunia hii ina mengi sana.
 
Somethings is wrong!! Mwana wa mfalme Leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.

Kweli maisha yanaenda kasi Sana Sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu.
Walinzi wa Rais hawataki hata mwanausalama asiye kwenye Unit yao kumsogelea Rais sembuse na huyu pseudo-TISS!

Asilazimishe mambo!!
 
Somethings is wrong!! Mwana wa mfalme Leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.

Kweli maisha yanaenda kasi Sana Sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu.
Atajijua mwenyewe.

TAfuta rafiki au ndugu yoyote mweny mtoto anayesoma shule ya msingi katika shule binafsi utajua ndugu.Inaonekana wewe huna au anasoma kayumba wako?
Acha tu Mkuu ,January nililipa karibu 680,000/= Ada+Nguo+Stationary+Usafiri+Bima kwa term ya kwanza kasomamiezi miwili shule zikafungwa kwa korona ,walivyofungua tarehe 29 June nikalipa tena 630,000/=(Ada+Usafiri+fedha ya korona) wamesoma miezi miwili wamefunga week imekuja report nilipe 550,000/= Aseee ni majanga kweli kweli.
 
Pole ndugu
 
Somethings is wrong!! Mwana wa mfalme Leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.

Kweli maisha yanaenda kasi Sana Sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu.
Unajua siri iliyopo hadi Magufuli kuhutubia mkutano mchana? Tulieni mambo ni magumu sana huko
 
Somethings is wrong!! Mwana wa mfalme Leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.

Kweli maisha yanaenda kasi Sana Sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu.
Sasa angekaa jukwaa kuu kama nani? Kama alikuwa na matarajio hayo ana tatizo la kufikiri. Na kama walinzi/watu wa itifaki wangemruhusu nao wangekuwa na matatizo.
 
Somethings is wrong!! Mwana wa mfalme Leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.

Kweli maisha yanaenda kasi Sana Sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu.
Aliboronga mission ya kuondoa maisha ya muujiza unaotembea, sasa mambo yamegeuka meko ana hasira nae anatamani ampasue makofi mbele za watu
 
Back
Top Bottom