Uchaguzi 2020 Makonda azuiwa kukaa Jukwaa Kuu kwenye mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM

Tamaa mbaya...
 
Hii safari inatia shaka, watiania wakigamboni walikuwa na kikao na mama kate kamba kilichompeleka dodoma Ni nini? Halafu mbowe akipigwa mtama wakamsingizia yeye atasemaje?
 
Wanasiasa wote hutumia watu...
It's too early to judge him....
 
Kama alitaka kukaa jukwaa kuu basi ana matatizo. Alishawahi kuwa kiongozi na utaratibu anaujua, sasa kwa nini ajidhalilishe mbele ya umma?
 
Kama alitaka kukaa jukwaa kuu basi ana matatizo. Alishawahi kuwa kiongozi na utaratibu anaujua, sasa kwa nini ajidhalilishe mbele ya umma?
Halafu mbona kadhoofika Sana, muda mwingine madaraka kwa vijana hayafai, ona nkurunziza kuambiwa kutoka ikulu kafa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…