Makonda bhana! Kwa hiyo Gambo alikuwa CHADEMA wakati wewe ukiwa mkuu wa mkoa kutokea ACT?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Unatuletea siasa uchwara Kanda ya Kasikazini utachinjwa mchana kweupe we endelea na magonjwa yako badala ufanye kazi unaanza siasa mfu heti Maendeleo yalichelewa kisa upinzani, kwani Hela ni Mali ya CCM?

Mnaturudisha kwenye siasa za kishamba kwa manufaa ya nani?

Umepewa bilioni mbili kawakopeshe wachekeshaji wenzako
 
Makonda asituletee usanii uchwara. Atuambie zile stronghold za cc ikiwemo kolomije, huko lindi, mtwara, lupatingstinga,misenyi, tanga etc kwanini zina umasikini mkubwa.
 
Ndiyo maana mzee six alimzagamua huyu nyamitako, kanyimwa akili kapewa makalio makubwaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…