Pre GE2025 Makonda: CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa. Lissu hawezi kuwa Rais wa Tanzania, anaishi nje na kuja nchini kimatukio

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
jamaa ana rusha makombora ya Alqas right, left and center [emoji1787]

lazima hawa majamaa wapoteane politically speaking [emoji205]

come 2025 wako nyang'anyang'a wako nyukunyuku,

wanaishia kumjibu muenezi tu na kujitetea engagements na wananchi 0[emoji205]
Upuz tu siasa za blah blah

Ehe lei katumia usafiri gani au ungo

Ova
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda akiwa mkoani singida Makonda Januari 25, 2024 amesema kuwa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuna mgawanyiko unaochochewa na uwepo wa makundi mawili ambayo yote yanataka kumuweka Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa

Kundi la kwanza ni lile linalomuhusisha Mwenyekiti aliyepo madarakani Freeman Mbowe na kundi la pili linaongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu.

Makonda ameongeza kuwa hata Lissu anajua hakuna chama chochote kinachoweza kuongoza nchi zaidi ya CCM, ndio maana ameamua kuishi nje ya nchi na kuja Tanzania kimatukio, uchaguzi ukiwadia anakuja, matokeo yakitoka anarudi kwake. Haijulikani makazi yake yapo Tanzania au nje ya nchi.

''Kwenye kuongoza nchi anajua pia hawezi na ndio maana ameamua kuishi huko na kuja Tanzania kimatukio. Akisikia uchaguzi anakuja, matokeo yakitoka anarudi kwake. Sasa sijajua makazi yake yapo wapi kwamba yapo Tanzania halafu kule ni ofisi au kule ni ofisi makazi ni Tanzania!"

Ndiyo unaweza kuelewa ni kwa kiwango gani Makonda ni mjinga na punguani asiyeelewa hata kazi aliyopewa.

Yeye ni mwenezi wa CCM lakini hotuba nzima anaongelea maisha ya viongozi wa CHADEMA!! Hivi maisha ya Lisu ndiyo sera ya CCM?

Nadhani Makonda kwa kupanga na kusimamia tukio lile la kumwua Lisu, na kisha kuendelea kumwona Lisu akiwa hai, kila akisikia jina la Lisu au kumwona, akili inazidi kumruka. Anabakia kuweweseka na kulitaja ovyo jina la Lisu. Huyu amebakiza kuwehuka na kuanza kusema mauaji yote aliyoyafanya.
 
Sasa akili yako inakutuma kila asemacho mwendawazimu unakuja kuripoti humu
 
Damu ya mtu hunuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani umeona anamjibu? Vitendo ndio vinajibu na wananchi wanaelewa kuwa hilo jamaa ni punguani na wanapata mashaka aliyemteua kuwa msemaji wake anajitambua kweli au anafunikwa na cheo chake tuu lakini kumbe naye ni walewale!
Bashite kakusanya watu Moshi akisema Lissu kakimbilia Ivory Coast kukacha maandamano ghafla huyo akayaongoza, MUONGO. Kasema watu wameyadharau maandamano ghafla yakafana na ujumbe kufika, MUONGO.
Sasa kiongozi gani huyo kila asimamapo ni uongo wa wazi tuu? Ni kwa vile maccm ni kama zombies, vinginevyo angekuwa anatandikwa mayai viza na nyanya mbovu.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

Katika kitu cdm wamepatia ni kutijibishana na huyo muhalifu. Wao wanafanya yao wamemuacha anaweweseka. Kujibishana na huyo muhalifu ni kumpa uhalali wa kisiasa asiokuwa nao. Yeye alipaswa kuwa jela, na sio kwenye majukwaa ya kisiasa.
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda akiwa mkoani singida Makonda Januari 25, 2024 amesema kuwa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuna mgawanyiko unaochochewa na uwepo wa makundi mawili ambayo yote yanataka kumuweka Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa

Kundi la kwanza ni lile linalomuhusisha Mwenyekiti aliyepo madarakani Freeman Mbowe na kundi la pili linaongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu.

Makonda ameongeza kuwa hata Lissu anajua hakuna chama chochote kinachoweza kuongoza nchi zaidi ya CCM, ndio maana ameamua kuishi nje ya nchi na kuja Tanzania kimatukio, uchaguzi ukiwadia anakuja, matokeo yakitoka anarudi kwake. Haijulikani makazi yake yapo Tanzania au nje ya nchi.

''Kwenye kuongoza nchi anajua pia hawezi na ndio maana ameamua kuishi huko na kuja Tanzania kimatukio. Akisikia uchaguzi anakuja, matokeo yakitoka anarudi kwake. Sasa sijajua makazi yake yapo wapi kwamba yapo Tanzania halafu kule ni ofisi au kule ni ofisi makazi ni Tanzania!"
Mwenezi wa CCM sau CHADEMA?
 
Ndiyo unaweza kuelewa ni kwa kiwango gani Makonda ni mjinga na punguani asiyeelewa hata kazi aliyopewa.

Yeye ni mwenezi wa CCM lakini hotuba nzima anaongelea maisha ya viongozi wa CHADEMA!! Hivi maisha ya Lisu ndiyo sera ya CCM?

Nadhani Makonda kwa kupanga na kusimamia tukio lile la kumwua Lisu, na kisha kuendelea kumwona Lisu akiwa hai, kila akisikia jina la Lisu au kumwona, akili inazidi kumruka. Anabakia kuweweseka na kulitaja ovyo jina la Lisu. Huyu amebakiza kuwehuka na kuanza kusema mauaji yote aliyoyafanya.

Kama Kuna kitu kinamuumiza Makonda na kamati nzima ya ccm iliyompa nafasi hiyo, ni kitendo Cha cdm kumpuuza. Wote walitegemea cdm watapoteza muda kujibizana naye Ili wawatoe kwenye reli, ndio maana mara anataka midahalo, kwenye safari zake Ili inoge ni lazima awaprovoke cdm, kwa lengo la kuwaingiza kwenye mtego wake wa siasa majitaka.
 
Mwanaume gani?Mwanaume wa "kusaidiwa" kuzalisha na Dokta wa Kichina.

Mwanaume gani unakuwa na Wowowo AKA Nyash AKA Bunda 😆😆

Huyu alitakiwa awe Jela.
So far so good but male nucleic gamete belong to Makonda BWASHEE😇
 
Huyo mropokaji tu Hana uwezo wa kumfikia risu hata kidogo.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda akiwa mkoani singida Makonda Januari 25, 2024 amesema kuwa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuna mgawanyiko unaochochewa na uwepo wa makundi mawili ambayo yote yanataka kumuweka Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa

Kundi la kwanza ni lile linalomuhusisha Mwenyekiti aliyepo madarakani Freeman Mbowe na kundi la pili linaongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu.

Makonda ameongeza kuwa hata Lissu anajua hakuna chama chochote kinachoweza kuongoza nchi zaidi ya CCM, ndio maana ameamua kuishi nje ya nchi na kuja Tanzania kimatukio, uchaguzi ukiwadia anakuja, matokeo yakitoka anarudi kwake. Haijulikani makazi yake yapo Tanzania au nje ya nchi.

''Kwenye kuongoza nchi anajua pia hawezi na ndio maana ameamua kuishi huko na kuja Tanzania kimatukio. Akisikia uchaguzi anakuja, matokeo yakitoka anarudi kwake. Sasa sijajua makazi yake yapo wapi kwamba yapo Tanzania halafu kule ni ofisi au kule ni ofisi makazi ni Tanzania!"
Mrop mr
 
Back
Top Bottom