Makonda: CRDB na NBC zimeshusha riba ya mikopo kwa wasanii kutoka 9% hadi 7%, baadhi ya masharti yameondolewa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametangaza kuwa Serikali kupitia Mfuko wa Waandaji wa Maudhui (Content Creators) imefanikiwa kushirikiana na benki za CRDB na NBC kupunguza kiwango cha riba ya mikopo kwa vijana na wasanii kutoka asilimia 9 hadi asilimia 7.

Makonda ameeleza kuwa makubaliano hayo pia yameondoa masharti magumu ya dhamana kama vile kadi za magari au hati za viwanja kwa mikopo ya viwango fulani vya fedha, lengo likiwa ni kutoa fursa kwa vijana na wanahabari wenye mawazo ya kibiashara kupata mitaji ya kuanzia na kujipatia ajira pamoja na vifaa vya kazi.

View attachment 3676858
Hela za kwenda kuhonga!
Si kuna zile walipewa bure na wizara wakaziita za mkopo na haijulikani kama wamerudisha?
 
Back
Top Bottom