Makonda, Ita MEDIA omba msamaha watanzania

Kumekuwepo na wimbi la watoa ushauri kwa makonda, hebu mtupe muelekeo sasa, aache upi atumie upi, maana mpaka sasa kila mtu "Makonda fanya hivi.." yaani mpaka kina Lema nk!
 
Kumekuwepo na wimbi la watoa ushauri kwa makonda, hebu mtupe muelekeo sasa, aache upi atumie upi, maana mpaka sasa kila mtu "Makonda fanya hivi.." yaani mpaka kina Lema nk!
Miruzi Mingi Humpoteza Mbwa!!
 

Itaonekana ni kiki tu kwasasa ukiomba msamaha inatakiwa itoke moyoni. Lakini hapa ni kuomba msamaha ili kupunguza makali
 
Ushauri mzuri
 
Kama alijichukulia mamlaka mkononi hakutii amri ya Mkuu wake wa kazi na akayafanya haya kwa utashi wake basi na aupokee huu ushauri wako na aufanyie kazi. Kama alitii amri ya mkuu wake wa kazi na akatekekeza kwa utii basi atubu kwa Mungu wake inatosha.

Na kama alifanya kwa utii alichoamriwa na Mkuu wake wa Kazi, basi nawaone huruma sana wale wote wanao tii amri za wa Kuu wao wa kazi maana hawajui kesho yao itavyo kuwa. They are not secured at all na hii itafanya kutekelezwa kwa baadhi ya amri kuwe kwa legege maana aliye takiwa kutekekeza atasema kesho nitatelekezwa kukitokea la kutokea.
 
Makonda ni kijana wakitanzania Alijisahau na Mamlaka aliyopewa na... Just kiburi ndo kilichokua kwake ambacho alikipata kutokana na watu waliokua nyuma yake wakimlinda...
©APATE KINACHOMSATAHILI
 
Yaani wauza madawa na mashoga ndo waombwe msamaha!
 
Familia za watu waliomizwa unafikiri ni rahisi kuwasamehe?
 
Aelezee mauaji yote aliyotekeleza na magu ,atoe details za kupotea kwa bensaanane na kushambuliwa lisu tumfikilie
 
Tanzania ya waliodhulumiwa haiwezi kumsamehe Makonda kamwe. Yeye aombe msamaha au asiombe lazima achezee kufungo kama Ole Sabaya tu
 
Watanzania wakimsamehe binafsi nitamtafuta kimya kimya nile nae sahani moja,lile ta.ko si la kuliacha liende zake kimya kimya.
 
Amechelewa.
 
Maisha yanaenda Kasi Sana Leo Bashite Ndio wa kuhenyeka wajameni,
Enheee haya Sawa Ngoja tuone Mwisho wa Ngoma kama mwali atafunua Dela!

Au nasema uongo ndugu zanguni?
 
Huyu Jamaa habadiliki kwani neno kuomba ameshambiwa na watu wengi lakini bado yuko kimya.
Ngoja tuhuma zianze atawahita akiwa Ukonga kwani unapopewa ushsuri na watu tofautofauti ufanyie kazi mapema kuendana na mazingira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…