Makonda, Ita MEDIA omba msamaha watanzania

eboo!!..aombe msamaha?, atarudisha uhai wa wale marehemu inaosemekana alidhurumu haki yao ya kuishi?.

kosa kama hilo linasameheka vipi kwa kwa mfano?.
 
Sawa mwache aombe radhi tu ila suala la kupigwa na kung'olewa meno na sie huku mitaani linabaki palepale tu
 
Ushauri kama huu alipewa Mzee wa Kongwa, alipoufata ikawa ndio justification ya anguko lake Kuu.

Nimekosa mimi...
 
Aombe msamaha kwanini? Kama Kuna jinai alitenda so mumpeleke mahakamani? Mbona Ole Sabaya kapelekwa mahakamani? Eti aombe msamaha; my foot!!
 
Aombe msamaha kwanini? Kama Kuna jinai alitenda so mumpeleke mahakamani? Mbona Ole Sabaya kapelekwa mahakamani? Eti aombe msamaha; my foot!!
Ole Sabaya huko aliko anatafuta gani ya kuitisha Vyombo vya Habari lakini anakosa hiyo nafasi.
Hivi unadha angekuwa Mtaani asingeomba msamaha.
Msamaha unajenga mstakabali mpya Ndugu.
Kuishi kwa kusameheana ni Ibada tosha Mku
 
Nchi hii wa kutuomba msamaha ni wengi sana na wa kwanza kabisa watanzania tunamtaka Kikwete atuombe radhi kwa mabaya yote aliyotutendea.

Watu huku mtaani wala hawana shida na huyu Makonda kwasababu tunajua namna gani wananchi tulivyosaidiwa sana na Makonda.

Kama JK haombi msamaha kwa watanzania basi naye kabla hajafa ahakikishe amejenga ukuta ili familia yake daima isije kusogelewa na watanzania aka ikiwezekana aihamishie nchi jirani la sivyo watapata adhabu za milele
 
Wauza ngada wanamsaka Kila Kona


USSR
Mzee Bashite baba Daudi na mkewe mama Daudi, wamechukizwa na huyu mtoto wao Daudi A Bashite, wapi alipoyatoa majina ya Paul C Makonda. Laana zingine anajitakia huyu mwana mpotevu.
 
Anatamani lakini bahati mbaya hathubutu 🤔
 
Mteteeni mtu wenu. Mbona mlikuwa mnamshamgilia enzi zile kuwa yeye ni kidume?

Mnataka kumkimbia rafiki yenu mzalendo?
Wazalendo akina timu, USSR,kinuji, Comte, Dudumizi &co mnaitwa huku Kuna kazi ya kufanya🤔
 
li-manji lina mlia 'timing' tuu tena kwa mbaliiii, akisahaulika sahaulika kwisha habari yake, eheee malipo ni hapa hapaa duniani
 
Ktk hiyo media anaweza kuwaomba msamaha aliowatanguliza mbele ya haki?
Atarudisha mali za aliowapora kwa kisingizio cha madawa ya kulevya na Bureau de Change?
Anatakiwa kupitia ktk tanuru lilelile alilopitisha wenzie, baadae ndio ataomba msamaha kama nae atakuwa hai!
 
li-manji lina mlia 'timing' tuu tena kwa mbaliiii, akisahaulika sahaulika kwisha habari yake, eheee malipo ni hapa hapaa duniani
Ila kwenye list yake hakumtaja Manji🤔
 
Kwani alikuwa mtoa roho🤔
 

Na hii ndio kanuni ya Drug dealers duniani... Once a snitch, always a snitch....

Nadhani hapa ndipo alipofeli,, aliamini atakaa madarakani milele...
 
Na hii ndio kanuni ya Drug dealers duniani... One a snitch, always a snitch....

Nadhani hapa ndipo alipofeli,, aliamini atakaa madarakani milele...
Hakujua Mungu ni WA wote🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…