GE2025 Makonda: Jamani wajumbe nimeacha kazi, nipeni kazi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Watiania ya ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini wameendelea kujinadi mbele ya wajumbe wa CCM, akiwemo aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda.

Akizungumza leo, Julai 31, 2025, mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Kata uliofanyika katika Kata ya Sokoni 1, Makonda amesema anaamini wajumbe wanamfahamu vyema, na kwamba ameacha kazi ili wampatie kazi, kwani anaiomba kazi anayoiweza na kuifahamu vizuri.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hata hivyo, amesema iwapo atapewa ridhaa ya kuwa Mbunge wao atahakikisha anaboresha miundombinu ya barabara ambayo amedai kuwa ni kero kubwa kwa wananchi wa Jimbo la Arusha Mjini.

Watiania ya ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini wameendelea kujinadi mbele ya wajumbe wa CCM, akiwemo aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda.

Akizungumza leo, Julai 31, 2025, mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Kata uliofanyika katika Kata ya Sokoni 1, Makonda amesema anaamini wajumbe wanamfahamu vyema, na kwamba ameacha kazi ili wampatie kazi, kwani anaiomba kazi anayoiweza na kuifahamu vizuri.

Hata hivyo, amesema iwapo atapewa ridhaa ya kuwa Mbunge wao atahakikisha anaboresha miundombinu ya barabara ambayo amedai kuwa ni kero kubwa kwa wananchi wa Jimbo la Arusha Mjini.
Mbunge hana fedha za kuboresha miundombinu, hilo ni jukumu la serikali. Nyie watu mtapewa ahadi za uongo hadi lini ?
 
Ni aibu mtu uliyepewa kusimamia Mkoa mzima uombe kaziabya kusimamia kajimbo kadogo mkoani hapo.

Hii kitu maana yake huwa ni nini?
 
Mkuu wa mkoa mshahara wake mdogo kuliko mbunge, Mbunge mshahara wake mkubwa sana pia ana marupurupu na mikopo na zile hongo za kupitisha mswaada.

Angelikuwa bado yupo mkuu wa mkoa wa Dar angebakia hapohapo manake kuna madili ya hela sana kuwa mkuu wa mkoa wa Dasalamu.
 
Hata ukuubwa mkoa wa DSM aliukimbia.
Hapo nimeelewa. Pia UBUNGE unapotential ya KUWA waziri au mtu mkubwa zaidi. Niliona mkuu wa mkoa mmoja Gabriel alikuwa jasiri na msomi Engineer lakini alipotumbuliwa ghafla analalamika hata siku zake wenzake hawapokei anafuga kuku tu na mke wake huko geita.

Basi kama ni hivyo abarikiwe awe mbunge akapige pesa za uhakika
 
Kiu halisi Makonda anagombe(atapewa) ubunge kwasababu huyu anataka apewe nafasi ya uwaziri na apewe nafasi aliopo mama 2030.

Hii nafasi ya ubunge atawepo kwa miaka 2 halafu atachaguliwa kuwa waziri, baada ya hapo utaona anasogezwa kwenye kiti kikuu.

Akimaliza muhula wake 2040 yule kijana wa mzee wa Msonga atachukuwa nafasi yake hio. Hili jambo lipo kwenye mtiririko maalumu kama wakoloni walivyofanya ile Berlin Conference iliofanyika November 1884 to February 1885 ya kuitawala afrika.
 
Watiania ya ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini wameendelea kujinadi mbele ya wajumbe wa CCM, akiwemo aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda.

Akizungumza leo, Julai 31, 2025, mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Kata uliofanyika katika Kata ya Sokoni 1, Makonda amesema anaamini wajumbe wanamfahamu vyema, na kwamba ameacha kazi ili wampatie kazi, kwani anaiomba kazi anayoiweza na kuifahamu vizuri.

Hata hivyo, amesema iwapo atapewa ridhaa ya kuwa Mbunge wao atahakikisha anaboresha miundombinu ya barabara ambayo amedai kuwa ni kero kubwa kwa wananchi wa Jimbo la Arusha Mjini.

CCM ni matapeli tu
 
Kiu halisi Makonda anagombe(atapewa) ubunge kwasababu huyu anataka apewe nafasi ya uwaziri na apewe nafasi aliopo mama 2030.

Hii nafasi ya ubunge atawepo kwa miaka 2 halafu atachaguliwa kuwa waziri, baada ya hapo utaona anasogezwa kwenye kiti kikuu.

Akimaliza muhula wake 2040 yule kijana wa mzee wa Msonga atachukuwa nafasi yake hio. Hili jambo lipo kwenye mtiririko maalumu kama wakoloni walivyofanya ile Berlin Conference iliofanyika November 1884 to February 1885 ya kuitawala afrika.
Yaaan makonda awe rais wa nchi hii uvccm hamko serious uyo ata ubunge arusha wakimoa watakuwa wajinga sana
 
chadema walichezwa na machale mapema naona wameamua kuingia mitini
wajinga sana hawa jamaa
 
Ni aibu mtu uliyepewa kusimamia Mkoa mzima uombe kaziabya kusimamia kajimbo kadogo mkoani hapo.

Hii kitu maana yake huwa ni nini?
Si bora hata Makonda,yule aliyejiuzulu ukurugenzi TRC? Unajiuliza mengi ila unakosa majibu kwakweli
 
Back
Top Bottom