Watiania ya ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini wameendelea kujinadi mbele ya wajumbe wa CCM, akiwemo aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda.
Akizungumza leo, Julai 31, 2025, mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Kata uliofanyika katika Kata ya Sokoni 1, Makonda amesema anaamini wajumbe wanamfahamu vyema, na kwamba ameacha kazi ili wampatie kazi, kwani anaiomba kazi anayoiweza na kuifahamu vizuri.
Hata hivyo, amesema iwapo atapewa ridhaa ya kuwa Mbunge wao atahakikisha anaboresha miundombinu ya barabara ambayo amedai kuwa ni kero kubwa kwa wananchi wa Jimbo la Arusha Mjini.
Kwamba miaka yoote hiyo Watanania wataendelea kulala usingizi wa pono??Akimaliza muhula wake 2040 yule kijana wa mzee wa Msonga atachukuwa nafasi yake hio. Hili jambo lipo kwenye mtiririko maalumu kama wakoloni walivyofanya ile Berlin Conference iliofanyika November 1884 to February 1885 ya kuitawala afrika.
Anavyopenda misifa sasaWatiania ya ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini wameendelea kujinadi mbele ya wajumbe wa CCM, akiwemo aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda.
Akizungumza leo, Julai 31, 2025, mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Kata uliofanyika katika Kata ya Sokoni 1, Makonda amesema anaamini wajumbe wanamfahamu vyema, na kwamba ameacha kazi ili wampatie kazi, kwani anaiomba kazi anayoiweza na kuifahamu vizuri.
Hata hivyo, amesema iwapo atapewa ridhaa ya kuwa Mbunge wao atahakikisha anaboresha miundombinu ya barabara ambayo amedai kuwa ni kero kubwa kwa wananchi wa Jimbo la Arusha Mjini.
Mkuu kati ya anayedanganya na anayedanganyika nani wa kulaumiwa???Watiania ya ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini wameendelea kujinadi mbele ya wajumbe wa CCM, akiwemo aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda.
Akizungumza leo, Julai 31, 2025, mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Kata uliofanyika katika Kata ya Sokoni 1, Makonda amesema anaamini wajumbe wanamfahamu vyema, na kwamba ameacha kazi ili wampatie kazi, kwani anaiomba kazi anayoiweza na kuifahamu vizuri.
Hata hivyo, amesema iwapo atapewa ridhaa ya kuwa Mbunge wao atahakikisha anaboresha miundombinu ya barabara ambayo amedai kuwa ni kero kubwa kwa wananchi wa Jimbo la Arusha Mjini.
Wajumbe wa Utumishi hatukupi Ajira si umeacha kaziNguvu ya Ndumba.....
chadema walichezwa na machale mapema naona wameamua kuingia mitini
wajinga sana hawa jamaa
kaa chini..,huna malakaUnaiwaza CHADEMA kila saa. Punguza unafiki
" Unaacha kazi, Unaomba kazi....😶🌫️"Watiania ya ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini wameendelea kujinadi mbele ya wajumbe wa CCM, akiwemo aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda.
Akizungumza leo, Julai 31, 2025, mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Kata uliofanyika katika Kata ya Sokoni 1, Makonda amesema anaamini wajumbe wanamfahamu vyema, na kwamba ameacha kazi ili wampatie kazi, kwani anaiomba kazi anayoiweza na kuifahamu vizuri.
Hata hivyo, amesema iwapo atapewa ridhaa ya kuwa Mbunge wao atahakikisha anaboresha miundombinu ya barabara ambayo amedai kuwa ni kero kubwa kwa wananchi wa Jimbo la Arusha Mjini.
Anajua wajumbe hamnazo hivyo chochote anachowaambia wanakipokea kama kilivyo.Ana utani wa kizamani .....unaacha kazi unaomba kazi?