Kiufupi,Toka uhuru mpaka Leo changamoto ni zilezile.
Ila yooote wananchi mbugira ndo wanasababisha
Kuna wananchi unawakuta kwenye mikutank ya ccm wanaimba na kugaragara Kwa shangwe,nderemo,na vifijo afu hayohayo majinga ndo unakuta baada ya mda yanatia huruma Kwa kuomba hiki na kile.
Wajinga wengi aise.
Ccm mtailaum bule,maana wafuasi wake tuseme hawanaga shida labda🤔.
Ningeshauri Chadema siku wafanye kama hawaon afu miaka kama 10.
Ili tulicheze lumba kisawasawa.
Naona dawa Bado haijaingia.
Wanaharakati wenye kuitakia Nchi hii heli,wake Kwa kutulia miaka 10.
Asihoji mtu yeyote,afu tuone itakuaje.
Hao wanaojifanya wana kazi wako bise Sana tuone itakuaje
Mda mwingine elimu yetu unatufanya kuwa yatima 70%.