Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Hakikisha mpenzi wako anaku post...Kwani huyu wanambebabeba kawafichia nn ambacho wanaogopa wakimtema atamwaga hadharani?
Maana ni kama sielewi 🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakikisha mpenzi wako anaku post...Kwani huyu wanambebabeba kawafichia nn ambacho wanaogopa wakimtema atamwaga hadharani?
Maana ni kama sielewi 🤔
Hakikiksha ana kupost kesho...
🤣Mi Nina mume,afu mume wangu huwa anapost mtu mwingine....nadhani majukumu yamemzidiaHakikisha mpenzi wako anaku post...
Bado hamjaachana tu...🤣Mi Nina mume,afu mume wangu huwa anapost mtu mwingine....nadhani majukumu yamemzidia
Hata sijui kama ndiyo nimepangiwa wa hivyo,huyu hakuna dalili ya kuachana...sijui itakuwaje?😔Bado hamjaachana tu...
Halafu kesho mnakaa mnajiuliza kwa nini sisi masikini?Wakuu
Huko Arusha, Makonda amesema kuanzia kesho kila Mwanaume hapa Arusha am-post mpenzi wake
View attachment 3255928
Wewe moyo wako unasemaje kumuhusu?Hata sijui kama ndiyo nimepangiwa wa hivyo,huyu hakuna dalili ya kuachana...sijui itakuwaje?😔
Ningeshapotea mazima...nahisi nampendaWewe moyo wako unasemaje kumuhusu?
Hakikisha kwenye siku ya wanawake duniani anakupost...Ningeshapotea mazima...nahisi nampenda
Hakika,ila si muhimu sanaHakikisha kwenye siku ya wanawake duniani anakupost...
Asipfanya hivyo piga kwenye mbupu akili imkae sawa...
Vizuri natumae mambo yako yataenda sawa...Hakika,ila si muhimu sana
Kuna jambo nasubiri juu yake nikishajiridhisha maamuzi ya jumla yatafanyika... hakika
AmiinVizuri natumae mambo yako yataenda sawa...
Ufanye maamuzi yake ya jumla, haja zako zitimie na ngumi upunguze...Amiin
🤣🤣🤣 Sijawahi piga mwanaume huwa nachangamsha genge tu,ila hasira ndiyo zitaniua...Mungu mwema wakati woteUfanye maamuzi yake ya jumla, haja zako zitimie na ngumi upunguze...
Hasira na kulia lia hovyo...🤣🤣🤣 Sijawahi piga mwanaume huwa nachangamsha genge tu,ila hasira ndiyo zitaniua...Mungu mwema wakati wote
😔Hasira na kulia lia hovyo...
Na kupiga keleleHasira na kulia lia hovyo...
Hahaha aisee kelele kama vile unad.inywa...Na kupiga kelele