Makonda kuapa kesho kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ataondoka na msafara wa gari moja, tofauti na awali magari sabini

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kesho ndugu yetu Paulo ataapa kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Jitihada zinafanyika kukusanya magari ya kukodi huko Arusha ili apokewe na msafara mrefu pale atakapokaribia kuingini katika jiji hilo.

Your browser is not able to display this video.
 
Hata kama kuna watu uwapendi kwenye maisha sio lazima wawe maarufu jaribu sana wasitawale mawazo yako, mtu akishakuwa sehemu ya mawazo ya kila siku huo sasa ndio mwanzo wa psychological problem.

Umpendi mtu sawa ni uamuzi wako lakini jaribu asitawale mawazo yako.

Usiruhusu kabisa mtu ambae hana direct impact ya maisha yako atawale fikra zako. Utakuwa unaumia bure tu Makonda anatoka sehemu ambayo aina ulaji anaenda kwenye nafasi ya ulaji zaidi.

Sidhani kama kuna mkuu wa mkoa anaetaka aache nafasi yake kwenda kuwa katibu wa uenezi CCM kama chaguo ni łake especially mkoa kama Arusha, Dar au Mwanza.
 
Makonda anaenda kushine na kuwa RC Bora huko Arusha kuliko wengine

Uzuri Makonda ni content yaani hata waandishi wa habari wanapenda kuandika habari zake

Kiufupi Arusha inaenda kuchangamka
Jamaa ana nyota kali yule, simuhusudu kivile lakini ukweli kutoka kumoyo Makonda ni full content package.
 
Kesho ndugu yetu Paulo ataapa kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Jitihada zinafanyika kukusanya magari ya kukodi huko Arusha ili apokewe na msafara mrefu pale atakapokaribia kuingini katika jiji hilo.

View attachment 2953229
Punda,ngamia,baiskeli,pikipiki na motokaa vyote ni vipando ili mradi afike eneo la tukio na kwa vile ni mzee wa matukio!
 
Tatizo jamaa kila akifungua mdomo anatoa boko! Kazi anapiga shida ule mdomo ambao haujui nini cha kusema nini cha kuepuka!
 
Kabisa

Ndio maana hakuna sababu ya kumuombea mabaya kila mtu ambae uwezi control fate ya maisha yake hata kama umpendi vipi ni kujiumiza akili tu.

Habari za dua la kuku kwa mwewe
Mimi Makonda nilikuwa namchukia sana Mwanzo lakini nimegundua jamaa ni Mpakwa Mafuta ni suala la Muda tu

Jamaa ana nyota Kali sana , yaani akiteuliwa nafasi yoyote yeye ndiye anakuwa mada wengine wote wanafunikwa

Kiufupi ni ngumu kushindana na Aliyebarikiwa tayari
 

Kabisa waumini wa dini zote zote wanakubali “kalami ya mungu, aifutwi na mwanadamu”.
 
Pole kwa masikitiko mkuu, machungu yatapoa tu wala usiwe na wasiwasi
 
Pole kwa masikitiko mkuu, machungu yatapoa tu wala usiwe na wasiwasi
Pole ungempa mleta mada, mwenzake anaenda mkoa ambao weekends anaenda kupumzika Ngurdoto lodge na familia yake wakifanya utalii wa ndani.

Atake nini tena kwenye maisha yake hakuna chochote kinapungua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…