Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi habari za mtenda mema aliyeko madarakani na muovu aliyeko madarakani habari za nani zitaandikwa zaidi na kufatiliwa? Ndiyo maana mpaka leo Jiwe anafatiliwa zaidi kwani alikuwa na vinasaba na BashiteMimi Makonda nilikuwa namchukia sana Mwanzo lakini nimegundua jamaa ni Mpakwa Mafuta ni suala la Muda tu
Jamaa ana nyota Kali sana , yaani akiteuliwa nafasi yoyote yeye ndiye anakuwa mada wengine wote wanafunikwa
Kiufupi ni ngumu kushindana na Aliyebarikiwa tayari
Nasikia ataondoka na ngamiaKesho ndugu yetu Paulo ataapa kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Jitihada zinafanyika kukusanya magari ya kukodi huko Arusha ili apokewe na msafara mrefu pale atakapokaribia kuingini katika jiji hilo.
View attachment 2953229
Kodi magari na wewe mbwa washedKesho ndugu yetu Paulo ataapa kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Jitihada zinafanyika kukusanya magari ya kukodi huko Arusha ili apokewe na msafara mrefu pale atakapokaribia kuingini katika jiji hilo.
View attachment 2953229
we fikiria mpaka sahii mada za mteuli mpya ndugu Makala hazijafika tano hapa jf.lakini Bashite zinamiminika kila baada ya saa moja kuanzia jf mpaka huko media zingine.simkubali lakini ukweli jamaa yuko na mvuto flani wa kuzungumzwa na watu iwe kwa ubaya ama kwa wema.Hahahah, sasa hivi sifa yake imekuwa full content package
😂😂😂😂😂😂😂
Hata kama weekend angekuwa anaenda Marekani kupumzika(Japo huko alishapigwa ban kwa tuhuma za mauaji) swala la Bashite kuwa kiongozi muovu liko pale pale. Ila kama wewe ni chawa wake hakuna shida mkuuPole ungempa mleta mada, mwenzake anaenda mkoa ambao weekends anaenda kupumzika Ngurdoto lodge na familia yake wakifanya utalii wa ndani.
Atake nini tena kwenye maisha yake hakuna chochote kinapungua.
Sina sababu ya kuwa chawa wa mtu yeyote kwenye maisha yangu.Hata kama weekend angekuwa anaenda Marekani kupumzika(Japo huko alishapigwa ban kwa tuhuma za mauaji) swala la Bashite kuwa kiongozi muovu liko pale pale. Ila kama wewe ni chawa wake hakuna shida mkuu
Hakuna chawa anayejisema, kama wapo ni wachache sana hasa jinsia kinzani na meSina sababu ya kuwa chawa wa mtu yeyote kwenye maisha yangu.
Nampa tu mtazamo mleta mada; mtazamo ambao hana lazima wa kuuchukua.
Me out 👋
Kama ulikuwa hujui kiongozi muovu habari zake ni nyingi sana na zinafika mbali sana, lakini habari za kiongozi mwema huwa chache sana. Kiongozi mwema hutenda anayopaswa kutenda so hakuna jipya hapo, ila kiongozi muovu kama Bashite watu watatakujua mwisho wake nini au kwanini anafanya tofauti hapo ndipo mwanzo mwa habari zake kutafutwa sana.we fikiria mpaka sahii mada za mteuli mpya ndugu Makala hazijafika tano hapa jf.lakini Bashite zinamiminika kila baada ya saa moja kuanzia jf mpaka huko media zingine.simkubali lakini ukweli jamaa yuko na mvuto flani wa kuzungumzwa na watu iwe kwa ubaya ama kwa wema.
😀😀😀
kwani kiongozi muovu ni yeye tu Tanzania nzima,hao wengine mbona hawasemwi?Kama ulikuwa hujui kiongozi muovu habari zake ni nyingi sana na zinafika mbali sana, lakini habari za kiongozi mwema huwa chache sana. Kiongozi mwema hutenda anayopaswa kutenda so hakuna jipya hapo, ila kiongozi muovu kama Bashite watu watatakujua mwisho wake nini au kwanini anafanya tofauti hapo ndipo mwanzo mwa habari zake kutafutwa sana.
Content sababu mambo yake ya kijinga hakika huwashitua wote wenye akiliUzuri Makonda ni content
Wako wengi tu, lakini yeye alivuka mipaka mpaka kuua Watanzania wenzake hali iliyopelekea mpaka kupigwa Ban kuingia Marekani na nchi zingine washirika. Sasa kuna kiongozi aliyefikia uovu huo. Nadhani hata Jiwe hakufika level zile japo walikuwa washirikakwani kiongozi muovu ni yeye tu Tanzania nzima,hao wengine mbona hawasemwi?
Huyo kada mfia chama atakua amefurahia sana kushushwa huyo jamaa
Naomba nijue kama umezingatia maslahi,utulivu kisaikolojia,umaarufu kisiasa au umeandika kinyume chake?Sidhani kama kuna mkuu wa mkoa anaetaka aache nafasi yake kwenda kuwa katibu wa uenezi CCM kama chaguo ni łake especially mkoa kama Arusha, Dar au Mwanza.
Kama mnamponda kumbe mnampaisha!! Kwa sasa Watanzania tunajua aina ya kiongozi tunayemhitaji. Endeleeni tu kushangilia UlojoKesho ndugu yetu Paulo ataapa kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Jitihada zinafanyika kukusanya magari ya kukodi huko Arusha ili apokewe na msafara mrefu pale atakapokaribia kuingini katika jiji hilo.
View attachment 2953229
Ulaji unamaanisha Rushwa au Kipato Kulingana na mishahara na allowance za vyeo husika?Hata kama kuna watu uwapendi kwenye maisha sio lazima wawe maarufu jaribu sana wasitawale mawazo yako, mtu akishakuwa sehemu ya mawazo ya kila siku huo sasa ndio mwanzo wa psychological problem.
Umpendi mtu sawa ni uamuzi wako lakini jaribu asitawale mawazo yako.
Usiruhusu kabisa mtu ambae hana direct impact ya maisha yako atawale fikra zako. Utakuwa unaumia bure tu Makonda anatoka sehemu ambayo aina ulaji anaenda kwenye nafasi ya ulaji zaidi.
Sidhani kama kuna mkuu wa mkoa anaetaka aache nafasi yake kwenda kuwa katibu wa uenezi CCM kama chaguo ni łake especially mkoa kama Arusha, Dar au Mwanza.