Makonda kuapa kesho kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ataondoka na msafara wa gari moja, tofauti na awali magari sabini

Makonda kuapa kesho kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ataondoka na msafara wa gari moja, tofauti na awali magari sabini

Mimi Makonda nilikuwa namchukia sana Mwanzo lakini nimegundua jamaa ni Mpakwa Mafuta ni suala la Muda tu

Jamaa ana nyota Kali sana , yaani akiteuliwa nafasi yoyote yeye ndiye anakuwa mada wengine wote wanafunikwa

Kiufupi ni ngumu kushindana na Aliyebarikiwa tayari
Hivi habari za mtenda mema aliyeko madarakani na muovu aliyeko madarakani habari za nani zitaandikwa zaidi na kufatiliwa? Ndiyo maana mpaka leo Jiwe anafatiliwa zaidi kwani alikuwa na vinasaba na Bashite
 
Hahahah, sasa hivi sifa yake imekuwa full content package
😂😂😂😂😂😂😂
we fikiria mpaka sahii mada za mteuli mpya ndugu Makala hazijafika tano hapa jf.lakini Bashite zinamiminika kila baada ya saa moja kuanzia jf mpaka huko media zingine.simkubali lakini ukweli jamaa yuko na mvuto flani wa kuzungumzwa na watu iwe kwa ubaya ama kwa wema.
 
Kuna watu waoga sana huko arusha, yani hamjiamini kabisa kwa makonda, mnamuogopa ile mbaya 😁
 
Pole ungempa mleta mada, mwenzake anaenda mkoa ambao weekends anaenda kupumzika Ngurdoto lodge na familia yake wakifanya utalii wa ndani.

Atake nini tena kwenye maisha yake hakuna chochote kinapungua.
Hata kama weekend angekuwa anaenda Marekani kupumzika(Japo huko alishapigwa ban kwa tuhuma za mauaji) swala la Bashite kuwa kiongozi muovu liko pale pale. Ila kama wewe ni chawa wake hakuna shida mkuu
 
Sina sababu ya kuwa chawa wa mtu yeyote kwenye maisha yangu.

Nampa tu mtazamo mleta mada; mtazamo ambao hana lazima wa kuuchukua.

Me out 👋
 
Sina sababu ya kuwa chawa wa mtu yeyote kwenye maisha yangu.

Nampa tu mtazamo mleta mada; mtazamo ambao hana lazima wa kuuchukua.

Me out 👋
Hakuna chawa anayejisema, kama wapo ni wachache sana hasa jinsia kinzani na me
 
we fikiria mpaka sahii mada za mteuli mpya ndugu Makala hazijafika tano hapa jf.lakini Bashite zinamiminika kila baada ya saa moja kuanzia jf mpaka huko media zingine.simkubali lakini ukweli jamaa yuko na mvuto flani wa kuzungumzwa na watu iwe kwa ubaya ama kwa wema.
Kama ulikuwa hujui kiongozi muovu habari zake ni nyingi sana na zinafika mbali sana, lakini habari za kiongozi mwema huwa chache sana. Kiongozi mwema hutenda anayopaswa kutenda so hakuna jipya hapo, ila kiongozi muovu kama Bashite watu watatakujua mwisho wake nini au kwanini anafanya tofauti hapo ndipo mwanzo mwa habari zake kutafutwa sana.
 
kwani kiongozi muovu ni yeye tu Tanzania nzima,hao wengine mbona hawasemwi?
 
kwani kiongozi muovu ni yeye tu Tanzania nzima,hao wengine mbona hawasemwi?
Wako wengi tu, lakini yeye alivuka mipaka mpaka kuua Watanzania wenzake hali iliyopelekea mpaka kupigwa Ban kuingia Marekani na nchi zingine washirika. Sasa kuna kiongozi aliyefikia uovu huo. Nadhani hata Jiwe hakufika level zile japo walikuwa washirika
 
Sidhani kama kuna mkuu wa mkoa anaetaka aache nafasi yake kwenda kuwa katibu wa uenezi CCM kama chaguo ni łake especially mkoa kama Arusha, Dar au Mwanza.
Naomba nijue kama umezingatia maslahi,utulivu kisaikolojia,umaarufu kisiasa au umeandika kinyume chake?
 
Kesho ndugu yetu Paulo ataapa kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Jitihada zinafanyika kukusanya magari ya kukodi huko Arusha ili apokewe na msafara mrefu pale atakapokaribia kuingini katika jiji hilo.

View attachment 2953229
Kama mnamponda kumbe mnampaisha!! Kwa sasa Watanzania tunajua aina ya kiongozi tunayemhitaji. Endeleeni tu kushangilia Ulojo
 
Hata kama kuna watu uwapendi kwenye maisha sio lazima wawe maarufu jaribu sana wasitawale mawazo yako, mtu akishakuwa sehemu ya mawazo ya kila siku huo sasa ndio mwanzo wa psychological problem.

Umpendi mtu sawa ni uamuzi wako lakini jaribu asitawale mawazo yako.

Usiruhusu kabisa mtu ambae hana direct impact ya maisha yako atawale fikra zako. Utakuwa unaumia bure tu Makonda anatoka sehemu ambayo aina ulaji anaenda kwenye nafasi ya ulaji zaidi.

Sidhani kama kuna mkuu wa mkoa anaetaka aache nafasi yake kwenda kuwa katibu wa uenezi CCM kama chaguo ni łake especially mkoa kama Arusha, Dar au Mwanza.
Ulaji unamaanisha Rushwa au Kipato Kulingana na mishahara na allowance za vyeo husika?

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom