Wazo zuri, lkn timu itapofungwa halafu mbele kuna picha ya mama, tutawapa wapinzani kumdhihaki mama. Wakishinda vizuri kashinda mama, wakifungwa jee?Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Taarifa za kiintelejensia zilizopo ni kwamba Bwana Paulo Makonda ameazimia kutumia kila rasilimali aliyo nayo kuhakikisha kwamba anafyatua jezi mpya za timu ya taifa kwa gharama yoyote ile.
Wadau waliopo karibu na waziri huyo nguli wa michezo zinasema ndugu Makonda atafanya kila linalowezekana kusukuma agenda yake ya kufyatua jezi za timu ya taifa zenye nembo ya mama Samia. Ijapokuwa alipingwa vikali wakati anapromote jezi hiyo siku za nyuma, lakini inaonekana safari hii hataki kumsikiliza mtu yeyote yule awaye.
View attachment 3677372
MAONI YANGU
Naungana na Bwana Makonda 💯% katika mpango wake huu kwani jezi za timu ya taifa za sasa hivi zenye rangi ya Yanga (njano) zinaogopwa na mashabiki wa klabu ya Simba pamoja na klabu nyingine za Ligu Kuu ambazo zinaichukia Yanga. Namuombea kila siku mpango wake huu ufanikiwe haraka iwezekanavyo. Amen.
Naunga mkono hoja..Naungana na Bwana Makonda 💯% katika mpango wake huu kwani jezi za timu ya taifa za sasa hivi zenye rangi ya Yanga (njano) zinaogopwa na mashabiki wa klabu ya Simba pamoja na klabu nyingine za Ligu Kuu ambazo zinaichukia Yanga. Namuombea kila siku mpango wake huu ufanikiwe haraka iwezekanavyo. Amen.
Kabisa ndugu .Zile jezi za Yanga walizofyatua Sandaland zimekosa soko. Ni hasara tupu mkuu.
Maneno matupu hayo, hawezi kufanya hivyoHayawi hayawi sasa yamekuwa. Taarifa za kiintelejensia zilizopo ni kwamba Bwana Paulo Makonda ameazimia kutumia kila rasilimali aliyo nayo kuhakikisha kwamba anafyatua jezi mpya za timu ya taifa kwa gharama yoyote ile.
Wadau waliopo karibu na waziri huyo nguli wa michezo zinasema ndugu Makonda atafanya kila linalowezekana kusukuma agenda yake ya kufyatua jezi za timu ya taifa zenye nembo ya mama Samia. Ijapokuwa alipingwa vikali wakati anapromote jezi hiyo siku za nyuma, lakini inaonekana safari hii hataki kumsikiliza mtu yeyote yule awaye.
View attachment 3677372
MAONI YANGU
Naungana na Bwana Makonda 💯% katika mpango wake huu kwani jezi za timu ya taifa za sasa hivi zenye rangi ya Yanga (njano) zinaogopwa na mashabiki wa klabu ya Simba pamoja na klabu nyingine za Ligu Kuu ambazo zinaichukia Yanga. Namuombea kila siku mpango wake huu ufanikiwe haraka iwezekanavyo. Amen.
Kama watafanya hivyo moja kwa moja watahalibu hayo mashindano na kufanya zitangazwe siku za maandamano ndani ya hixo tarehe ..hivyo kuhalibu kabisa ushiriki wa tanzania ...wazanzibari ni washenzi sana.Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Taarifa za kiintelejensia zilizopo ni kwamba Bwana Paulo Makonda ameazimia kutumia kila rasilimali aliyo nayo kuhakikisha kwamba anafyatua jezi mpya za timu ya taifa kwa gharama yoyote ile.