Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Zero brain.Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Taarifa za kiintelejensia zilizopo ni kwamba Bwana Paulo Makonda ameazimia kutumia kila rasilimali aliyo nayo kuhakikisha kwamba anafyatua jezi mpya za timu ya taifa kwa gharama yoyote ile.
Wadau waliopo karibu na waziri huyo nguli wa michezo zinasema ndugu Makonda atafanya kila linalowezekana kusukuma agenda yake ya kufyatua jezi za timu ya taifa zenye nembo ya mama Samia. Ijapokuwa alipingwa vikali wakati anapromote jezi hiyo siku za nyuma, lakini inaonekana safari hii hataki kumsikiliza mtu yeyote yule awaye.
MAONI YANGU
Naungana na Bwana Makonda 💯% katika mpango wake huu kwani jezi za timu ya taifa za sasa hivi zenye rangi ya Yanga (njano) zinaogopwa na mashabiki wa klabu ya Simba pamoja na klabu nyingine za Ligu Kuu ambazo zinaichukia Yanga. Namuombea kila siku mpango wake huu ufanikiwe haraka iwezekanavyo. Amen.