Makonda kufyatua Jezi mpya zenye nembo ya Mama?

Zero brain.
 
Nimecheka. Eti Magoti kasema siku akifa wasitoe wallpaper ya Samia Suluhu kwenye Simu yake🤣🤣. Itamsaidia nini Mwananchi?

Wenzake wanaacha alama zinadumu na wananchi wanawakumbuka. Sasa Wallpaper itamsaidia nini Mkwere wa Kisarawe?
nchi Iko pabaya inahitaji maombi
 
Aibu sana
hii deal makonda inamtoa roho, kifupi mwakani kwenye afcon kuna ununuaji mwingi wa jezi kwa taasisis za serikali , sasa hizo hela makonda anazitolea macho

pata picha jezi moja ni shilingi 45,000/=
sasa fanya hv ,TRA, NSSF,TAWA,TPA ,stafu wote wanunuliwe jezi ni bei gani?
bado ,CRDB,NBC ,NMB, na wengine, nao wanunuliwe jezi unadhani atavuta ngapi

hicho ndicho Makonda kinamtoa roho ,ukiwa haujui mambo ya biashara ya jezi unaeza usione hiyo VITA inapigwanwa kwa nn
 
Kwa hiyo kumbe makondakta ni bonge la optunist mkuu?
 
naweza kusema hivyo, mie binafsi napenda mtu anayechungulia fursa za hela lkn asiwe muingiliaji wa fursa za watu
Kweli kabisa mkuu. Ubaya wa Daudi Bashite yeye anataka ale peke yake wenzake wakose.
 
Anaandika Mwanasiasa Mkongwe na Mlezi wa chama cha ACT-Wazalendo, @zittokabwe :
“Benard Kamungo, Mshambuliaji wa FC Dallas ya Marekani ambaye amecheza Timu ya Taifa ya USA ya under 20 kaamua aipe heshima Nchi ambayo imemlea, Tanzania.
“Kakubali kujiunga na Taifa Stars. TFF wamefanya kazi yao na wamemleta. Kwa furaha kajiunga na Kambi ya Timu ya Taifa. First 11 imetoka hayupo hata kwenye Subs. Kisa? Serikali ya Tanzania haijampa Pasipoti.
“Nchi nzima inajadili JEZI! Uzuri au ubaya wa Jezi lakini hatuna muda kabisa wa kufanya mambo muhimu. Tunajadili Petty Issues na kuacha mambo ya kimkakati.
“Waziri wa Michezo anashinda kwenye Press kuelezea ubaya au uzuri wa Jezi ilhali angehitaji saa moja tu kuhakikisha mchezaji muhimu kabisa anapata Pasipoti. Waziri wa Ndani anaita wasanii ofisini kukata kesi, Waziri wa Mambo ya nje hata Sijui yupo wapi, Waziri wa Michezo analilia dili la jezi.
“Timu imeachwa! Ndio maana inafungwa hata na Timu ya 132 kwenye FIFA RANKING. Waziri @baba_keagan achana na mambo ya jezi focus on our team.
“Waziri Mahmoud Kombo na Waziri Katambi Timu inakwenda Morocco katika siku mbili hakikisheni suala la Kamongo limekwisha. Hebu tuwage serious na mambo ya Nchi”
 
Who cares? And who are you by the way?
 
Ni vile ukimkosoa wazi unatekwa, ni uoga tu unatusumbua si ajabu hata wake/waume zao huko ndani huwa wanashangaa maamuzi ya viongozi wetu.
Sasa jezi za Yanga ndio unataka zivaliwe na watanganyika wote, wakiwemo mashabiki wa Simba mkuu? Kavae wewe mwenyewe mwanaUtopolo na maUtopolo menzako.
 
no body told you to care, coz everyone of us owns his own sh.it , so asubiri dili lingine apate 10%... aache kulalama kama mwanaume aliyezidiwa oestrogen..
Uongozi ni ulaji mkuu. Wewe unataka Bashite akale wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…